Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WAZIRI Mkuu na Makamu wa Rais mstaafu, Jaji Joseph Sinde Warioba (69), amepelekwa Afrika Kusini kwa matibabu baada ya afya yake kuzorota; Tanzania Daima imebaini. Habari za uhakika ambazo gazeti...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
  • Closed
Kuna haja ya kumpendekeza magufu agombee. Tumechoshwa na watu kama kikwete ambao kwao cha maana ni safari za ughaibuni kila kukicha, huku wakiacha wazawa wenye hali duni tukifa na kutopea kwenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
January makamba yupo soni, lushoto, jimbo la bumbuli (linaloshikiriwa na shelukindo) leo hii akijinadi kwa wapiga kura. January ambaye alishaanza kujitangaza jimboni humo kwa kumwaga pesa na...
0 Reactions
349 Replies
34K Views
Chief Executive Officer Category: Senior Management Location: Dar es Salaam, Tanzania...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
CHAMA CHA JIHADI? ETI ni kweli kwamba CCJ ni chama cha Jihadi na kwamba waathirika wengi wa mauaji Mwembechai na Zanzibar wamejiunga na chama hicho? Mambo ....ambayo CCM lazima...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wanasheria na wachambuzi wa siasa nisaidieni kutoa ufafanuzi kwa hili,Hivi ikitokea kwa mfano Mwenyekiti wa Chama tawala kama alivyo J.K.Kikwete ,kutumia nafasi yake kama mwenyekiti wa chama na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Nimekuwa nikitafakari sababu za kushindwa kwa Upinzani katika chaguzi mbalimbali hapa nchini na kujiuliza maswari haya yafuatayo 1.Kushindwa kwa upinzani ni kutokana na aina ya viongozi walionao...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
RAIS wangu, siko hapa kumhubiria mtu au watu, bali kuihubiri habari njema ya ukweli, upendo na haki. Katika watu waliofanikiwa sana kiuongozi kisiasa katika nchi hii kwa nyakati zao ni pamoja...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Absalom Kibanda HEKAHEKA za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu zimepamba moto, na tayari vituko kadha wa kadha vya kisiasa vimeshaanza kuonekana kadiri miezi na siku za kuelekea Oktoba 31...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Yes indeed dear friends! It has been four years since we entered into the arena of public discourse in a fashion and manner never seen before; in online debates, political columns in our...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Kauli zake zaivuruga CCM, Kamati ya Mwinyi na Mwandishi Wetu MWENENDO na kauli zinazotolewa na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano, Samuel Sitta, zimekivuruga Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Rotarian Faye Cran, known by all as Mama Kuku, was brutally beaten by thieves at her home in Duluti on Saturday 27th February. She was coming home from a fundraiser to help the community, and this...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna habari za chini ya zulia kuwa lowasa anatarajiwa kugombea uspika dhidi ya sitta. Kama hii itakuwa kweli basi kazi ipo maana ana nguvu pale bungeni
0 Reactions
39 Replies
4K Views
  • Closed
Mtoto wa Jakaya Kikwete ,Ridhiwan Kikwete avuruga mkutano wa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi Taifa (UVCCM -Taifa) Masauni Yusuph Masahuni. Taarifa zinasema...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hawa ni baadhi tu ya wabunge wanao onekana kutofaa mwakani, feel free kuongeza majina mengine au kukosoa kwamba fulani asiwepo kwenye list hii. 1. Gideon Cheyo- Ileje. 2. John Chilligati -...
0 Reactions
452 Replies
52K Views
Hosea Kutojiuzuru kama pendelezo la kamati teule ya bunge na kuthubutu kuwahoji wabunge kuhusu posho mbili mbili kipindi hicho hicho- na Bunge kunyongonyezwa msimamo wake wa richmond - na Lowasa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma, imemkingia kifua Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, kuwa alitaja mali zake wakati akitoka madarakani. Kwa mujibu wa sekretarieti hiyo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
na Marietha Mkoka, DSJ RAIS Jakaya Kikwete amemteua aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Ilala, mkoani Dar es Salaam, Patrick Tsere kuwa balozi mpya nchini Malawi. Taarifa iliyotolewa jana na Wizara ya...
0 Reactions
70 Replies
11K Views
Baadhi ya kauli hizo ni ile aliyoitoa wakati wa hafla ya uzinduzi wa albamu ya kwaya ya Kanisa Katoliki Chang’ombe, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Sitta alisema ujasiri wake na maisha yake yanatokana...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Nilipokuwa shule ya msingi darasa la tano mwalimu wetu alikuja na kutuuliza utamaduni ni nini? kwa kweli hakuna aliyejibu jibu lililomlizisha mwalimu mbaka mwenyewe alipotuambia kuwa utamadumi ni...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…