Bongo baada ya miaka 5

Lukolo

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
5,147
Likes
96
Points
145

Lukolo

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
5,147 96 145
:confused:Kutokana na agizo la rais tutegemee hili kabla ya kutoka madarakani:confused:
You are so funny guy! Hivi ulikuwa wapi mwaka 2005 ambapo Rais akisaidiana na akina Adam Kimbisa waliweka ahadi kemkem za kumaliza tatizo la foleni Dar es salaam kwa kuleta mabasi yaendayo kasi plus kupanua barabara ikiwemo kujenga hizo fly over?
Kwa hiyo leo ndo umeona katoa ahadi zaidi kuzishinda alizowahi kutoa?
Nafikiri hali kama hiyo itakuja kutokea miaka 50 hadi mia moja ijayo iwapo kutapatikana viongozi wanaojua kutafuta hela kama Mkapa.
 

Forum statistics

Threads 1,189,307
Members 450,597
Posts 27,631,832