M/kiti wa CCM mkoa wa Tabora ampigia debe Selelii

Z

Zyansiku

Member
Joined
Jul 27, 2009
Messages
49
Likes
0
Points
0
Z

Zyansiku

Member
Joined Jul 27, 2009
49 0 0
Katika kile kinachoonekana kuchafuka kwa hali ya hewa mkoani Tabora, jana jioni kwenye kikao cha wazee, mkiti wa ccm mkoa wa Tabora Hasan wakasuvi alimpigia debe la wazi Ndg Lucas selelii bila woga wala kificho na kwa kujua kuwa kufanya hivyo ni kwenda kinyume na maadili ya uongozi wa ccm. sakata lenyewe lilianza hivi, baada ya kukaribishwa na katibu wa ccm mkoa bwana Ame ambaye ni muunguja, mkiti alianza kwa mkwala mzito kuwa baadhi ya watendaji wa ccm wilayani nzega wanapigia debe wagombea ubunge watarajiwa mbali na mbunge aliyepo madarakani na kuwaambia kuwa kama watendaji wanaetakiwa kumpigia debe ni selelii peke yake na si vinginevyo kwani ndiye mbunge wa jimbo hilo kwa vipindi kadhaa hivyo hakuna sababu ya kubadilisha mbunge! wakasuvi aliendelea kusema kuwa endapo atathibitisha kuwa bado watendaji wanambeba selelii basi atahakikisha kuwa wagombea hao wanakatwa majina
Taarifa zaidi zinadai kuwa Mkiti huyo wa mkoa anampigia debe selelii ili nae aje amsaidie kwenye uchaguzi mkuu ujao wa ccm ili aendelee kuwa mkiti kwani wagombea watarajiwa wote wanaojitokeza wanaelekea kutomuunga mkono mkiti huyo kwa kuonekana mtu wa visasi sana
poleni wana Nzega! ongezeni bidii, ndio kumekucha kwani kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.
 
D

Diwani Mtarajiwa

Member
Joined
Feb 3, 2010
Messages
19
Likes
0
Points
0
D

Diwani Mtarajiwa

Member
Joined Feb 3, 2010
19 0 0
haya kumekucha yetu macho na masikio! tutarajie mengi mapya mwaka huu, kupakaziana,kutishana nk.
 
M

M-bongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
338
Likes
12
Points
35
Age
48
M

M-bongo

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
338 12 35
hatusikii mengine? selelii selelii! who is selelii by the way? am fed up with kila siku selelii selelii hamna cha kuandika!
 
B

Bumbwini

Member
Joined
Dec 10, 2009
Messages
61
Likes
1
Points
0
B

Bumbwini

Member
Joined Dec 10, 2009
61 1 0
mambo yameanza,tutaona na kusikia mengi mwaka huu,hatuja sikia ya rostam nae,na rt na selelii ni chui na paka patamu hapo,yetu macho na masikio.
 
K

Kabonde

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2008
Messages
421
Likes
8
Points
0
K

Kabonde

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2008
421 8 0
hatusikii mengine? selelii selelii! who is selelii by the way? am fed up with kila siku selelii selelii hamna cha kuandika!

M-bongo vipi au wewe uko kwenye kamati ya yule msomali anayenyemelea jimbo la mpigananiji wetu.

Seleli ni miongoni mwa wabunge tuonawataka warudi tena mjengoni,mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora kafanya jambo zuri sana kumpigia debe Lucas Seleli.Najua zipo juhudi kubwa zinazofanywa na kundi la mafisadi za kumpeleka yule kibaraka wa Rostam Azizz mjengoni lakini safari hii hakuna wa kumdanyanya.
 
N

Nyauba

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
1,098
Likes
12
Points
135
N

Nyauba

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
1,098 12 135
Hivi RA ndo anayewapangia wananchi wa nzega na Tabora kwa ujumla wawakilishi wao??

Iam fed up.
 
K

Kabonde

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2008
Messages
421
Likes
8
Points
0
K

Kabonde

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2008
421 8 0
Hivi RA ndo anayewapangia wananchi wa nzega na Tabora kwa ujumla wawakilishi wao??

Iam fed up.

Nyauba wewe uko dunia ipi ??????????????,yaani mpaka leo humjui king maker
wa Tanzania.Wakati mwingine kukaa kimya ni busara zaidi kuliko kukimbilia kuropoka na hatimae ujinga wako unajulikana kwa umma wote.
 
N

Nyauba

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2008
Messages
1,098
Likes
12
Points
135
N

Nyauba

JF-Expert Member
Joined Jul 10, 2008
1,098 12 135

Nyauba wewe uko dunia ipi ??????????????,yaani mpaka leo humjui king maker
wa Tanzania.Wakati mwingine kukaa kimya ni busara zaidi kuliko kukimbilia kuropoka na hatimae ujinga wako unajulikana kwa umma wote.
Kabonde sijaropoka ila nimeuliza kwa nini nguvu yake ni kubwa mpaka kwa wananchi??

Najua nguvu yake ya kutengeneza mtandao wa kuweka watu madarakani kwa kutumia vikundi au kikundi ndani ya chama chake ila hadi kwa wananchi sikuwaa naamini nguvu hiyoo!!!

Anaweza kuweka kibaraka wake na bado wananchi wakamtosa kwa kura..
Au wananchi huchagua chama na si mgombea bora?
 
K

Kabonde

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2008
Messages
421
Likes
8
Points
0
K

Kabonde

JF-Expert Member
Joined Aug 12, 2008
421 8 0
Kabonde sijaropoka ila nimeuliza kwa nini nguvu yake ni kubwa mpaka kwa wananchi??

Najua nguvu yake ya kutengeneza mtandao wa kuweka watu madarakani kwa kutumia vikundi au kikundi ndani ya chama chake ila hadi kwa wananchi sikuwaa naamini nguvu hiyoo!!!

Anaweza kuweka kibaraka wake na bado wananchi wakamtosa kwa kura..
Au wananchi huchagua chama na si mgombea bora?

Nimekupata mkuu,
 
Z

Zyansiku

Member
Joined
Jul 27, 2009
Messages
49
Likes
0
Points
0
Z

Zyansiku

Member
Joined Jul 27, 2009
49 0 0
yes! hata Selelii wakati wa uchaguzi wa 2005 alisaidiwa na RA kwa asilimia 99 ikiwa ni pamoja na kupewa kiasi kikubwa cha fund hakuna mtu wa nzega asiyejua hilo so hata kama RA ataamua ku back huyo unayemuita kijana its well and good japo kwa taarifa yako watu wa Nzega tunamtaka Dr kigwangala ndiye anayewasumbua msomali na selelii na infact Dr Kigwangala lazima amdondeshe Selelii
 
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2009
Messages
608
Likes
17
Points
35
Vitendo

Vitendo

JF-Expert Member
Joined Oct 23, 2009
608 17 35
Kwani HUSSEIN BASHE mwaka huu anaenda tena Nzega?
 
Z

Zyansiku

Member
Joined
Jul 27, 2009
Messages
49
Likes
0
Points
0
Z

Zyansiku

Member
Joined Jul 27, 2009
49 0 0
fika Nzega uulize nguvu ya RA hata selelii analijua hilo bila RA selelii angekuwa kijijini kwao Busondo anachunga ndama
 
Z

Zyansiku

Member
Joined
Jul 27, 2009
Messages
49
Likes
0
Points
0
Z

Zyansiku

Member
Joined Jul 27, 2009
49 0 0
yupo Dr kigwangala, Selelii, Simbakalia na Abdala Natco aah na Bashe kweli
 
M

M-bongo

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2008
Messages
338
Likes
12
Points
35
Age
48
M

M-bongo

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2008
338 12 35
Kibonde! najua utakuwa unanifahamu vizuri lakini nikuweke wazi jambo moja unapofika wakati wa uchaguzi kila raia anakuwa free kumpigia kura yeyote anayemtaka regardless hafai kiasi gani!
Huyo selelii ambaye wewe umesema kuwa wamtaka sisi watu wa nzega hatuhitaji hata kusikia jina lake, ametukwamisha swala la umeme hasa kwa kiji cha Ndala na puge kwa upuuzi wake, bara bara ya Tabora Nzega haifai kabisa lakini kibaya zaidi elimu yake kwa karne hii haistahili hata kuwa mjumbe wa serikali ya mtaa achana na udiwani wala ubunge. umenipata
 
Mdau

Mdau

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2008
Messages
1,781
Likes
267
Points
180
Mdau

Mdau

JF-Expert Member
Joined Mar 29, 2008
1,781 267 180
Katika kile kinachoonekana kuchafuka kwa hali ya hewa mkoani Tabora, jana jioni kwenye kikao cha wazee, mkiti wa ccm mkoa wa Tabora Hasan wakasuvi alimpigia debe la wazi Ndg Lucas selelii bila woga wala kificho na kwa kujua kuwa kufanya hivyo ni kwenda kinyume na maadili ya uongozi wa ccm. sakata lenyewe lilianza hivi, baada ya kukaribishwa na katibu wa ccm mkoa bwana Ame ambaye ni muunguja, mkiti alianza kwa mkwala mzito kuwa baadhi ya watendaji wa ccm wilayani nzega wanapigia debe wagombea ubunge watarajiwa mbali na mbunge aliyepo madarakani na kuwaambia kuwa kama watendaji wanaetakiwa kumpigia debe ni selelii peke yake na si vinginevyo kwani ndiye mbunge wa jimbo hilo kwa vipindi kadhaa hivyo hakuna sababu ya kubadilisha mbunge! wakasuvi aliendelea kusema kuwa endapo atathibitisha kuwa bado watendaji wanambeba selelii basi atahakikisha kuwa wagombea hao wanakatwa majina
Taarifa zaidi zinadai kuwa Mkiti huyo wa mkoa anampigia debe selelii ili nae aje amsaidie kwenye uchaguzi mkuu ujao wa ccm ili aendelee kuwa mkiti kwani wagombea watarajiwa wote wanaojitokeza wanaelekea kutomuunga mkono mkiti huyo kwa kuonekana mtu wa visasi sana
poleni wana Nzega! ongezeni bidii, ndio kumekucha kwani kelele za chura hazimzuii ng'ombe kunywa maji.

well......thanks for a piece of info......but,err, I would rather say,ni kama imekaa kishabikishabiki hivi!! anyway,ni mtazamo wangu tu..
 
Ngongo

Ngongo

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2008
Messages
12,484
Likes
4,216
Points
280
Ngongo

Ngongo

JF-Expert Member
Joined Sep 20, 2008
12,484 4,216 280
Kibonde! najua utakuwa unanifahamu vizuri lakini nikuweke wazi jambo moja unapofika wakati wa uchaguzi kila raia anakuwa free kumpigia kura yeyote anayemtaka regardless hafai kiasi gani!
Huyo selelii ambaye wewe umesema kuwa wamtaka sisi watu wa nzega hatuhitaji hata kusikia jina lake, ametukwamisha swala la umeme hasa kwa kiji cha Ndala na puge kwa upuuzi wake, bara bara ya Tabora Nzega haifai kabisa lakini kibaya zaidi elimu yake kwa karne hii haistahili hata kuwa mjumbe wa serikali ya mtaa achana na udiwani wala ubunge. umenipata

Heshima kwako M-bongo,

Naomba kukuuliza swali dogo sana hivi kina Mtemi Mkwawa,Mirambo na kina Mangi sina walikuwa na elimu gani ?.Mzee wa vijicent ana degree ya sheria from Havard university ebu ona madudu aliyotufanyia Wadanganyika,mikataba yote ya madini ilipita chini yake,ununuzi wa rada na mambo mengi machafu kashiriki.

Jaribu kucheck web ya bunge anagalia CV za waheshimiwa wabunge utashangaa jinsi walivyo na vyeti vizito lakini uwakilishi wao ni tofauti na usomi wao.

GreatConqueror

GreatConqueror

Member
Joined
Mar 27, 2009
Messages
74
Likes
1
Points
15
GreatConqueror

GreatConqueror

Member
Joined Mar 27, 2009
74 1 15
Heshima kwako M-bongo,

Naomba kukuuliza swali dogo sana hivi kina Mtemi Mkwawa,Mirambo na kina Mangi sina walikuwa na elimu gani ?.Mzee wa vijicent ana degree ya sheria from Havard university ebu ona madudu aliyotufanyia Wadanganyika,mikataba yote ya madini ilipita chini yake,ununuzi wa rada na mambo mengi machafu kashiriki.

Jaribu kucheck web ya bunge anagalia CV za waheshimiwa wabunge utashangaa jinsi walivyo na vyeti vizito lakini uwakilishi wao ni tofauti na usomi wao.

Muulize na elimu ya Zuma. Ambaye wasouth walimfeel na kuamua kumpa uenyekiti wa ANC na hatimaye Urais. Elimu ya kutuibia hatuitaki!
 
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2006
Messages
12,659
Likes
94
Points
0
Field Marshall ES

Field Marshall ES

JF-Expert Member
Joined Apr 27, 2006
12,659 94 0

M-bongo vipi au wewe uko kwenye kamati ya yule msomali anayenyemelea jimbo la mpigananiji wetu.

Seleli ni miongoni mwa wabunge tuonawataka warudi tena mjengoni,mwenyekiti wa CCM mkoa wa Tabora kafanya jambo zuri sana kumpigia debe Lucas Seleli.Najua zipo juhudi kubwa zinazofanywa na kundi la mafisadi za kumpeleka yule kibaraka wa Rostam Azizz mjengoni lakini safari hii hakuna wa kumdanyanya.
- Sawa sawa Great Thinker, tupo pamoja sana hapo!

Respect.

FMEs!
 
M

mubi

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2010
Messages
332
Likes
45
Points
45
M

mubi

JF-Expert Member
Joined Feb 3, 2010
332 45 45
Nampongeza sana Mheshimiwa Seleli kwa kazi zake nzito anazozifanya kwa ajili ya jimbo la Nzega , na hata kwa Watanzania wote kwa ujumla. Ni mbunge mahiri, mchapa kazi na mpenda maendeleo. Hongera sana Mheshimiwa Seleli na ninakutakia mafanikio mema zaidi katika kuharakisha au kusukuma gurudumu la maendeleo la wanaNzega na Watanzania kwa ujumla. Nasi tutakuwa nawe bega kwa bega kuharakisha zaidi maendeleo ya jimbo na nchi yetu.
 
Forum statistics

Threads 1,250,457
Members 481,354
Posts 29,733,903