Kampeni - Kombe la Dunia Lipandishwe Mlima Kilimanjaro 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kampeni - Kombe la Dunia Lipandishwe Mlima Kilimanjaro 2010

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shadow, Feb 8, 2010.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Feb 8, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Kampeni - Kombe la Dunia Lipandishwe Mlima Kilimanjaro
  Wana JF wenzangu,
  Wasalaaam.
  Naona kuna umuhimu wa serikali yetu kutoa ofa ya mshindi wa kombe la dunia 2010 huko afrika ya kusini kutembelea na kupandishwa kileleni Mlima Kilimanjaro.Hii itatusaidia kuitangazia rasilimali zetu kwa ulimwengu mzima bila hata ya kutumia mabilioni ya pesa huko CNN et al.
  Namwomba Mh. Rais wetu JK kuliangalia wazo hili na kuanza kuteta na FIFA hili kujenga hoja kwamba kushinda kombe la dunia bila kulifikisha Mlima Kilimanjarokwenye 'summit' ya Afrika ni kukosa raha ya ushindi. Wizara yetu ya utalii pia inaweza kuanzisha website ya kulitangaza lengo hili la kulipeleka kombe la dunia keleleni.
  MH. Rais natumaini utalichukulia hili suala kwa uzito.
  Mungu Ibariki , Tanzania
  Mungu Ibariki Afrika,
  Wakatabahu, SHADOW
   
 2. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #2
  Feb 8, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 42,478
  Likes Received: 26,043
  Trophy Points: 280
  Shadow , hili ni jambo ambalo linawezekana kabisa ukichukulia kuwa,michuano inafanyika kwa mara ya kwanza kwenye ardhi ya Afrika.Kinachotakiwa sasa hivi ni ushawishi tu.
   
 3. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #3
  Feb 8, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  Yeha,even me i had the same idea.....Kilimanjaro is the roof of Africa
   
 4. S

  Somi JF-Expert Member

  #4
  Feb 8, 2010
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 606
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 45
  Umetoa hoja ya maana sana, ungefaa kuwa hata katibu mkuu wa wizara ya utalii , unaubunifu kuliko hao waliopo sasahivi, wao wanawaza safari na namna ya kufanya ufisadi
  naomba mhe.rais wetu awatoe madarakani hawawezi kazi.
  kungekuwa na ubunifu wa namna hii katika sekta zote za serikali maendeleo yangepatikana hapa tanzania,
  wenzetu nchi za jirani wamepiga hatua kubwa kutokana na kuwa na ubunifu mzuri wa aina kama hii uliyopendekeza
   
 5. G

  Gangi Longa Senior Member

  #5
  Feb 8, 2010
  Joined: Feb 5, 2010
  Messages: 195
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 45
  wewe usiwape watu deal ya kula mpunga! Mwee mwaka huu tena wa kampeni watakuchomoa $20 mio. Mbali ya zile $7 mio. Za kuleta timu iweke kambi tanzania kipindi cha world cup. Wenzio huko wanataka kuilipa rites kwa 51% ya trl wakati hawakununua hizo shares!
   
 6. a

  alibaba Senior Member

  #6
  Feb 8, 2010
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 185
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wazo jema sana, linahitaji kufikishwa kwa wahusika ili lifanyiwe kazi.
   
 7. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #7
  Feb 9, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Natumaini Mh Rais pamoja na timu yake watalifanyia kazi wazo hili kwani coverage na publicity ya hili suala itakuwa kubwa kama tukiweza kupata at least MOU na FIFA.

  God Bless Tanzania,
  God Bless Africa
  Viva Tanzania!

  Shadow.
   
 8. N

  Nyauba JF-Expert Member

  #8
  Feb 9, 2010
  Joined: Jul 10, 2008
  Messages: 1,098
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Haya ndio mawazo chanya na yaliyotakiwa toka kuundwa kwa ile kamati ya kupromote Tz kwenye 2010 WC.

  Cha ajabu sijazikia hata dondoo zao wakiw na wazo kama hili. Hatujachelewaa sana ila muda uliopo kulikamilisha pia ni mdogo kwani FIFA ni taasisi ya kimataifa inayofanya mipango kwa muda mrefu na clarity ya MOU huwa ni muhimu kufanywa mapema.

  Wazo hilii lipelekwee kwenye Wizara ya Habari na Kamati hUsika na walifanyiee kazi kwani linauzikaaa na kuvutiaa..

  TATIZOO LETU SIKU ZOTE SIO RASILIMALI BALI NI UTASHI NA MAONO YA MBELE NA JINSI YA KUYATEKELEZAAA..
   
 9. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #9
  Feb 9, 2010
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,738
  Trophy Points: 280
  kwanza kuliweka mount kilimanjaro..na pia timu bingwa ipatae fursa ya kutembelea vivutio vyetu vya utalii kama serengeti na tuhakikishe vile vivutio ambavyo nchi jirani wanatumia ku-comfuse watalii tunavitangaza kwa nguvu kwenye hiyo coverage

  Wizara ya Utalii.wizara ya fedha,michezo na utamaduni inabidi wafany kazi kwa pamoja ili kuibuka na hoja za maana na kuwekeza ktk hii programme.

  Sasa ili muda usizidi kwenda ni bora tuanze kufanya kazi ya kusambaza hii idea ili ifanyiwe kazi.Tunaweza kabisa!
   
 10. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #10
  Feb 9, 2010
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Ben, Heshima Mbele.

  Natumaini Ikulu na wizara ya utalii wanafuatilia hili suala na kulifanyia kazi kwani 'time is of urgency' June, 2010 siyo mbali.
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...