Petition: Tanzania should host CAN 2020! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Petition: Tanzania should host CAN 2020!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rev. Kishoka, Jan 31, 2010.

 1. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,480
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Yes we can!

  Yes we can host Africa Cup Nation soccer tounement!

  Mwanza, Zanzibar, Mbeya and Dodoma should be the host cities and final in Dar!

  The return will be the robust promotion of Tanzania which will expand tourism (packages to visit National Parks exclusivelye) industry, an increase in service industry and a sound distribution of infrastructure.

  Where is the Capital? we do not need an investor or loans to achieve this. At that time we will be close to achieve MDC goal, Mkukuta, Mkurubita and 2025 vision, hence we will have our national developmenet goals at 80% success rate!

  Think about it!

  May our President who is a sports fan start this campaign for Tanzania? in which next will be Olympics in Dar 2035!
   
 2. M

  Majasho JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2010
  Joined: Aug 4, 2009
  Messages: 342
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Tanzania and Kenya will host the CAN in 2016. that is confirmed...
   
 3. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #3
  Jan 31, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,480
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Hapana tusishirikiane na Kenya, tufanye jambo hili pekee yetu!
   
 4. Shalom

  Shalom JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2010
  Joined: Jun 17, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hakiya nani!
   
 5. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #5
  Feb 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 38,101
  Likes Received: 9,756
  Trophy Points: 280
  Watu hamna fedha za ku support basic social services mnataka kurukia extravagances za CAN ?
   
 6. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #6
  Feb 1, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,765
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Mkuu pesa ipo bali sema Mafisadi wanakula ile mbaya. Kama kungekuwa hakuna pesa Bongo usingeona watu mbali mbali kutoka nje ya Tanzania wanakuja kufungua makampuni yao au kuja pale. Angalia jinsi mafisi yanavyotunyemelea?
   
 7. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #7
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,480
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kiranga,

  Una uhakika kuwa hatuna fedha kwa ajili ya maendeleo ya jamii au tatizo ni utashi?
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Feb 1, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 78,282
  Likes Received: 40,524
  Trophy Points: 280
  Pengine fedha ipo lakini si ya kutosha....
   
 9. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #9
  Feb 1, 2010
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,765
  Likes Received: 1,028
  Trophy Points: 280
  Tushirikiane nao ili iwe nini? We want it on our own right.
   
 10. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #10
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,480
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  This is a great opportunity to pass!
   
 11. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #11
  Feb 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 38,101
  Likes Received: 9,756
  Trophy Points: 280
  Fedha za maendeleo ya jamii kutokana na GDP gani? hii hii ya $ 56 bn ?

  Are you serious?
   
 12. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #12
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,480
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kiranga,

  Kwani tunahitaji nini ili kuandaa hii michezo mpaka uingiwe woga namna hii?
   
 13. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #13
  Feb 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 38,101
  Likes Received: 9,756
  Trophy Points: 280
  Tunahitaji kuinvest mabilioni katika viwanja vya michezo na infrastructure, mahoteli etc etc. Huwezi kusema hii ndiyo the most pressing priority katika nchi isiyo na madawa hospitalini, barabara mbovu na shule za chini ya miti na paa za makuti.

  Unaweza ku justify extravagance hii kwa nchi masikini kama Tanzania?
   
 14. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #14
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,480
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kwani kuna dhambi tukijenga barabara na viwanja vya michezo? Je faida ya kujengwa kwa hizi infrastructures huzioni? vitu kama ajira na kupanuka biashara na hata utalii?
   
 15. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #15
  Feb 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 38,101
  Likes Received: 9,756
  Trophy Points: 280
  Jenga biashara kwanza, uwe na uchumi wenye capacity ya ku exploit hiyo event kwa faida ya uchumi wako, halafu ukisema unataka ku host michezo hata kiuchumi ita make sense.

  Sasa uchumi wenyewe kajamba nani, badala ya kukazania utengeneze uchumi kwanza, unataka kuwapa mlo economic hitmen.

  Wachina na ujanja wao wote mpaka leo wanalalamika kwamba wali over invest kwenye Olympics na hawajapata return on investment.Sasa na sisi tunataka kuiga tembo kunya?

  Me sioni umuhimu wa kujitutumua katika projects ambazo hatuna uwezo nazo wakati watu wetu wanaishi katika the worst kind of subsistence.

  Tengeneza mazingira ya kuweza kufanya hivi vitu kwanza, halafu pole pole tutafika, sio kutaka kufanya mambo ya kukimbia kwa ku host mashindano ya kimataifa wakati hata hatua za kutambaa za kuwafikishia wananchi maji hatujaziweza.
   
 16. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #16
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,480
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kiranga,

  Olympic inafanyika kwenye mji mmoja. Kombe kama ka CAN na kombe la Dunia lina miji mingi (vituo/makundi), hivyo anza kwa kufanya hiyo tofauti.

  Pili, ni kosa kwa mtu yeyote kudhani kuwa watapata manufaa kipesa baada ya mwaka mmoja, hivyo Beijing kusubiri returns kubwa chini ya miaka mitano ni kosa~!
   
 17. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #17
  Feb 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 38,101
  Likes Received: 9,756
  Trophy Points: 280
  Bottom line ni kwamba, hatuko katika level ya kuweza kufaidika na maandalizi ya michezo hii. Kama unataka kupoteza fedha na embarassment go ahead.

  Kama unaangalia mambo from an economic point of view, lazima kwanza ukamilishe basic needs kwa a substantial part of the population, uwe na middle class itakayoweza hata kuafford kwenda kwenye michezo hii kwa kulipia reasonable interntional level ticket prices.

  Ama sivyo una risk mashindano yawe na viwanja expensive lakini vitupu.

  Wewe unataka kuwaleta watu wa nchi zote hapa wakati hata guarantee ya umeme na maji huna? How about kuwekeza hizo hela kwenye project za umeme na maji kwa kila mtanzania?
   
 18. Rev. Kishoka

  Rev. Kishoka JF-Expert Member

  #18
  Feb 1, 2010
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 4,480
  Likes Received: 333
  Trophy Points: 180
  Kiaranga,

  Tanzania iwewahi kuandaa vitu vingapi? je masuala ya maji na umemem hayakuwapo mawazoni mwa waliotuletea Sullivan au Bunge la Jumuiya ya Madola?
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Feb 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 38,101
  Likes Received: 9,756
  Trophy Points: 280

  Labda wewe uniambie Tanzania imewahi kuandaa vingapi.

  Katika maoni na makabrasha yako Sullivan na Bunge la Jumuiya ya Madola vimetusaidia vipi?

  Halafu tenganisha kitu kama Bunge la Jumuiya ya Madola, ambacho kinaweza kuwa a necessary bureaucratic expense na ku host a sporting event kitu ambacho kinaweza kuangaliwa from an investment perspective.The former is a matter of course, tena mnaweza kuambiwa mwaka huu zamu yenu, inaweza kuwa ni obligation kwa hiyo itabidi mjitutumue tu . the latter watu mnajipendekeza wenyewe, tena mnashindania.

  My point ni kwamba, kama mnatafuta ujiko wa kusema "Tanzania tumejitutumua na ku host hiki na kile" go ahead, why stop at the African level, go ahead and host the Olympics. Lakini kama mnataka michezo hii iwe na maana kiuchumi, kwanza mnajenga stock market, mnajenga middle cass, mnajenga vyuo vikuu, mnahakikisha wananchi wana huduma muhimu za jamii, wana maji, wana madawa, halafu mnaweza kusema tushafanya vitu basic vyote sasa tunatk kwenda kwenye complicated investments za ku host michezo.

  Hujanijibu swali langu dogo tu.Ukitaka kuleta michezo hii ghafla bila kuweka mazingira mazuri, utakuwa tayari kuhost michezo katika viwanja expensive huku 80% ya seats ziko wazi kwa sababu wananchi hawawezi ku afford tickets?

  Ukitumia common sense tu utaona nchi isiyo na maji/ umeme haina business kutaka ku host michezo yenye gharama kubwa hivi.It just doesn't add up, it just doesn't make sense.

  Usitake kufananisha Commonwealth Parliamentary meeting / Maboksi meeting ya Sullivan na kuwa host wanamichezo wa Afrika nzima.

  One can even make an argument kwamba nchi ambayo haina mafanikio ya kimichezo haina business ku host mashindano mpaka iwe na mafanikio.Msije kutuletea balaa bure mkatolewa raundi ya kwanza mechi zikadoda kwa kukosa watazamaji.
   
 20. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #20
  Feb 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 38,101
  Likes Received: 9,756
  Trophy Points: 280
  This mentality of uncharted largesse and unfiltered extravagance is exactly why we are poor like we are.

  Watu wanataka ujiko tu kuwa tumehost hiki na kile bila ya kuwa na capacity ya kibiashara.

  Jenga capacity ya kibiashara kwanza, mengine yatafuata. Sio wewe unataka kuanza na mi project mikubwa wakati vitu vidogo vinatushinda.

  Ndiyo maana nchi zetu za kiafrika kila siku tunaibiwa na hawa "Economic Hitmen". Wakija wanapaint a rosy picture, chukua mkopo huu utajenga H.E.P Plant hii, ita stimulate uchumi kwa mwaka !0% within 5 years utalipa deni lote.

  Only kuja ku find out kwamba sio tu watu hawawezi ku operate machine za viwanda, kumbe hata kusoma hawajui!

  Michezo my foot! Watu hawana maji, umeme n dawa wewe unasema tu host michezo?

  Watu wenye bahati ya kuwa na treni treni inaenda 35 km/h, wewe unasema tu host michezo?

  Unaelewa maana ya neno "Economics" ?
   
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
 1. This site uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
  By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.
  Dismiss Notice
Loading...