Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

baada ya kukaa ng'ambo kwa mda mrefu nimerudi na kukuta zoezi la kuandikisha kupiga kura na leo ndio siku ya mwisho. nimekwenda kituoni kwa nia ya kujiandikisha lakini watu ni wengi sana. mpaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwanza inabidi niweke wazi kuwa nimeweka jina la Dkt Slaa kwenye kichwa cha habari kwa vile ni mwana-JF mwenzetu na anatembelea hapa mara kwa mara.Otherwise,dukuduku langu linaihusu Chadema kwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Katika hali isiyo ya kawaida kwa viongozi wa juu nchini kuonekana katika kumbi za starehe tena katika sare sambamba na waimbaji wa bendi, Waziri wa Kazi, Ajira na Maendeleo ya Vijana, Profesa Juma...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
MBUNGE wa Kigoma Kaskazini kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Zitto Kabwe, juzi alikuwa miongoni mwa abiria walionusurika kupigwa baada ya wananchi katika eneo la Kabuku...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Ndugu wana JF, Tafadhali naomba kufahamishwa: - - Tanzania tuna majimbo mangapi ya uchaguzi?, majimbo mangapi yako chini ya chama tawala na mangapi yako chini ya upinzani?.
0 Reactions
8 Replies
7K Views
MAPINDUZI YA FIKRA!! Ni muda sasa tangia kadhia ile ya refa alipoamua kukwatua! Na mi kwa sababu moja ama nyingine nikaamua kujikalia kando na kuwa msomaji tu wa kawaida. Lakini hali hile...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za siku nyingi ndugu wanaJF Nimefanya safari nyingi sana ndani ya jimbo langu la uchaguzi ninalodhamiria kugombea na paoja na mambo mengine nilitangaza rasmi dhamira yangu hiyo. katika...
0 Reactions
35 Replies
4K Views
Baadhi ya wagonjwa wakiwa wamelala chini katika hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), wodi namba 17 Sewa Haji kunakosababishwa na upungufu wa vitanda katika hospitali hiyo. (Picha na Peter Twite...
0 Reactions
35 Replies
6K Views
CALL FOR ACTION IN NORTH MARA GOLD MINE Dear Colleagues and partners, Greetings from North Mara in Tarime. I wish to share with you some photos of the current situation in...
0 Reactions
98 Replies
19K Views
BAADA ya Rais Jakaya Kikwete kusaini Sheria ya Gharama za Uchaguzi wiki iliyopita, Serikali imependekeza matumizi kwa mgombea urais yasizidi Sh bilioni moja kuanzia kwenye mchakato wa kuteuliwa na...
0 Reactions
83 Replies
7K Views
- Wakuu JF, tuna habari za huzuni kwamba Mwanasiasa wa siku nyingi sana toka enzi za Mwalimu, amefariki dunia leo asubuhi sana. Tutawaletea habari zaidi za msiba na matayarisho ya mazishi. -...
1 Reactions
62 Replies
15K Views
  • Poll Poll
Comrades & compatriots, What questions would you ask our beloved President, Jakaya Kikwete, if you would get a rare opportunity for one-to-one interview? JK is one of the most important...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
MNAJIMU wa Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein amemwelezea Spika Samuel Sitta kuwa ni kiongozi ambaye kwa sasa yuko juu na kwamba, hakuna atakayeweza kumgusa kwa lolote...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanakwetu kuna mtu ameshakisoma kitabu cha kisiasi nilichoona kwenye tv kinazinduliwa wiki mbili zilizopita? kama yupo kuna nini ndani yake jamaani, naomba kujua
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A long but good read. Nothing new really, we all know the same old issues of corruption, incompetence and bureaucracy. This article just sums up madness. Tanzania: Electricity in the Grip...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
wakati kesi ya mgombea binafsi inategemewa kuskilizwa tarehe 8 April mbele ya majaji saba mahakama imemteua DPP wa Zanzibar bwana Othman Masoud kuwa rafiki wa mahakama. rafiki huyu mpya ataungana...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Sipendi kuona Watanzania kazi yao kudanganywa tu!! Sitaki kuona raisi wetu kazi yake ni kuzurura tu!! Sipendi kuona maisha ya watu + na watu – Tanzania!! Sipendi kuona Tanzania ikitawaliwa na...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Baada ya kushindwa kwa sera ya Azimio la Arusha ya Ujenzi wa Vijiji vya Ujamaa vijiji vingi vya ujamaa vilikufa na wananchi wakarudia maisha yao ya jadi. Hii yote inasadikika ni jinsi gani Mwalimu...
0 Reactions
51 Replies
13K Views
CHADEMA yaendeleza harakati za ukombozi wa raslimali za umma dodoma, wakazi wajitokeza kwa wingi kuunga mkono, wa muahidi MBOWE wapo tayari kwa lolote litakalo tokea kwa mabaya au kwa mema mpaka...
0 Reactions
79 Replies
8K Views
Jan, tar. 12 tulishuhudia askari wetu wakipita mbele ya mgeni rasmi Mh. Karume wakitoa heshima kwa mkuu. Lakini Mh. mwingine ambaye ni Rais wa jamhuri ya Muungano wa TZ alikuwepo. Mpaka leo sipati...
0 Reactions
23 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…