Mlalahoi
JF-Expert Member
- Aug 31, 2006
- 2,182
- 883
Kwanza inabidi niweke wazi kuwa nimeweka jina la Dkt Slaa kwenye kichwa cha habari kwa vile ni mwana-JF mwenzetu na anatembelea hapa mara kwa mara.Otherwise,dukuduku langu linaihusu Chadema kwa ujumla.
Niliwahi kuanzisha thread flani hapa (https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/54564-wapinzani-wamemu-indorse-jk.html) kudadisi iwapo vyama vya upinzani vimeamua kUtosimamisha mgombea urais katika uchaguzi mkuu ujao.However,katika post hiyo,concern yangu ilikuwa kwa vyama vyote vya upinzani,lakini sasa naona nielekeze wasiwasi wangu kwa Chadema-chama ambacho naamini kikijipanga vizuri kinaweza kabisa kutuletea mabadiliko tunayosubiri kwa hamu.
Tumebakiwa na siku 3 kabla ya kuingia April,ambapo tutakuwa na takriban miezi 6 kabla ya uchaguzi (neglecting utabiri wa Sheikh Yahya kuwa hakuna uchaguzi mwaka huu).Let's be very honest,hivi katika muda mfupi kiasi hiki,Chadema itaweza kweli kumnadi mgombea wake kiasi cha kujihakikishia ushindi badala ya ushiriki tu?Nafahamu kuwa chama hiki kina utaratibu wa kumpata mgombea urais lakini nisichofahamu ni kuwa mchakato huo utaanza lini.Lakini kikubwa zaidi ni ufinyu wa muda uliosalia kwa maandalizi ya ushiriki mzima wa Chadema katika uchaguzi huo katika nafasi ya urais.
Mods mnaweza kuihamishia post hii mahala pengine kama haistahili kuwa hapa.