Jinsi baba alivyo ndivyo watoto walivyo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jinsi baba alivyo ndivyo watoto walivyo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Anyisile Obheli, Apr 10, 2010.

 1. Anyisile Obheli

  Anyisile Obheli JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2010
  Joined: Dec 13, 2009
  Messages: 3,304
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Huu ni msemo wa wahenga, hasa unatufundisha kuwa
  Motto hushabihiana tabia na baba yake ama mama yake

  Raisi ndiye kiongozi mkuu kwa mfumo wa serikali ya Tanzania
  Ikiwa ana watoto wengi kwanzia ngazi ya mawaziri
  Hadi ngazi ya mwisho kiutendaji katika taasisi za umma
  ambao ni wasaidizi wake katika swala zima la utekelezaji wa majukumu

  Na wengi wao ni wezi wa maliza umma, je ina maana hiyo
  Tabia wameshabihiana na baba yao? (Rais)
  Maana ni vigumu kuwa jasiri na kumkanya mwanao au
  Kumwadhibu, kwa tabia mbaya, ambazo hata mzazi unazo,

  Wahenga walisema,...' tena mototo wa nyoka ni nyoka'
  Tanzania nani wa kumwadhibu mwenzie kwa ufisadi kwa ujasiri???
   
 2. N

  Ndjabu Da Dude JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2010
  Joined: Aug 29, 2008
  Messages: 3,652
  Likes Received: 409
  Trophy Points: 180
  Ok. Kwa hiyo tufanyeje?
   
Loading...