Mheshimiwa mkasimongo yupo katikati ya hukumu dhidi ya liyumba kama ana kesi ?

FDR.Jr

JF-Expert Member
Jun 17, 2008
1,359
353
wakuu wenye influence kisutu tupatieni latest za kesi ya mseminari amatus liyumba, naambiwa mh. Hakimu ,kasimongo anaendelea na kusoma hukumu baada ya argument za pande mbili ktk kesi ya liyumba leo mahakama inaonyesha ilichoona dhidi ya liyumba kama analo la kutuambia wabongo au kapakaziwa?!!
 
Ameonekana hana kosa ktk upotevu wa mapesa lukuki yaliyotajwa na pccb lakini ana kesi ya kujibu ili kujibu ktk matumizi mabaya ya ofisi, upande wa utetezi wameomba masharti ya dhamana yaangaliwe upya , jopo la mahakimu chini ya mkasimongo wanalijadili hilo chemba kwa sasa saa sita watatoa maamuzi yao.

Hongera kwa mahakama kwa kuonyesha ukomavu wa muhimili huo.
 
Duh, Tanzania bwana...kumsotesha mzee wa watu siku zote hizo alafu hakuna kitu?
 
Nilishawahi kusema huko nyuma kuwa hizi kesi za kina Liumba,EPA,Jittu Patel na nyinginezo zote ni danganya toto zitapelwkwapelekwa hadi kipindi cha uchanguzi halafu mwisho wa siku hanakesi ya kujibu then anachiwa huru wakati mshadanganywa na kura zenu mmewapigia hao mafisadi hapo hakuna jipya atapeta tu uraiani
 
nilishawahi kusema huko nyuma kuwa hizi kesi za kina liumba,epa,jittu patel na nyinginezo zote ni danganya toto zitapelwkwapelekwa hadi kipindi cha uchanguzi halafu mwisho wa siku hanakesi ya kujibu then anachiwa huru wakati mshadanganywa na kura zenu mmewapigia hao mafisadi hapo hakuna jipya atapeta tu uraiani

amefutiwa kosa moja(lile la msingi) na anapata dhamana in the next half an hour
 
.....Mie sishangai........Naamini wataachiwa huru......Hatuna nia dhabiti ya kupambana na rushwa nchini....
 
Back
Top Bottom