Mpango wa kuwasajili wanachama ni kitisho kule zanzibar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mpango wa kuwasajili wanachama ni kitisho kule zanzibar

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngekewa, Apr 11, 2010.

 1. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Mpango wa usajili wa wanachama wa CCM juu ya kuwa ni mpango wa kisasa lakini kwa upande wa Zanzibar mpango huu utakuwa ni tishio kwa wafanyakazi na wafanyabiashara. Litakuwa tishio kwa vile sasa itakuwa rahisi zaidi kuangaliwa kwenye mtandao ili kujuwa nani' mwenzetu'
  Vitisho ni jambo la kawaida kule Visiwani na mtu ni rahisi kukosa haki yake kwa kuambiwa kuwa si mwenzetu. Huko nyuma wafanyakazi wakifuatiliwa kura zao kwenye uchaguzi na sasa hili litakuwa ni rahiosi zaidi.
   
Loading...