[SIZE="2"]Ndugu wana jamii forams
ni muhimu sana kujitolea ile kuweza kuleta mabadiliko ya kisiasa ili uchumi wetu uweze kuonguzwa na watu wenye mtizamo chanya hivyo basi wewe ukiwa ni...
Nilikua naangalia bunge letu Live wakati wa mjadala wa mswada wa sheria ya madini cha kushangaza wakati wengine wakijadili kwa kina mswada huo muhimu baadhi ya wabunge walikuwa wakipiga soga kiasi...
Nime kaa na kutafakari hivi ni kwa nini kiongozi mkuu wa nchi ana beba lawama zote? Tuangalie mifano michache. Marekani mzigo wote sasa hivi ana bebeshwa lawama Obama, Uingereza sasa hivi Gordon...
Wakuu jana katika kipindi special cha American Pop Idol (BSS ya US) kiitwacho Idol Gives Back niliona kitu sikukielewa. Kipindi hicho ambacho ni mahususi kwa kuchangisha pesa kutoka kwa watazamaji...
THE Immigration Department in Iringa Region has deported 51 illegal aliens of Somalia origin to their country after finalizing all the procedures of documentation, it has been disclosed.
The...
Muswada madini wawabana wawekezaji wakubwa Send to a friend Thursday, 22 April 2010 23:30
Waziri wa Nishati na Madini William Ngeleja
Frederick Katulanda, Dodoma
WAZIRI wa Nishati na...
Zitto Kabwe aipongeza CCM Send to a friend
Wednesday, 21 April 2010 19:05
Salim Said
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Zitto Kabwe ameifagilia ilani ya...
Miaka ya miongo ya 60 na 70 ilikuwa ni ya kutamalaki kwa askari wa kukodiwa (mercenaries au kwa jina lingine, the dogs of war) kwenye uwanja eti wa vita wa Afrika. Waliokuwa macho miaka hiyo...
Hali ya sintofahamu kuhusiana na hatima ya mjadala wa sheria mpya ya madini, ambapo Spika Sitta jana alitangaza kwa mbwembwe kuwa mjadala huo ni leo, ametangaza kabisa ili wachangiaji wajiandae...
Duku duku zinazoenakana ndani ya Jamboforums (JamiiForums) ni kwamba itaweza kuwa Chama cha Upinzani 2010!
Wachunguzi wamebaini kwamba wanachama machachari wa Upinzani na hata Chama tawala...
Wana JF mimi nilikuwa nataka tu discuss kwa nini viongozi wetu hasa waliopo madarakani Tanzania huwa wanakataa wasikae na wale contestants wao kutoka vyama vingine wakati wa kampeni ili kila mtu...
Bunge limeanza kwa maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu, ambapo Spika Sitta ameyapiga chini maswali matatu toka kwa wabunge watatu wa upinzani.
Swali la kwanza lilitoka kwa Kiongozi wa...
By Ani Jozen
13th April 2010
"African universities produce roughly one percent of academic titles issued annually around the world, a prominent local publisher said yesterday.
Launching close to...
Kinadharia, jamhuri yetu inasimamiwa na mihimili mitatu. Mihimili hiyo ni Bunge ambalo kazi yake ni kutunga sheria, serikali ambayo kazi yake ni kusimamia na kutekeleza sheria zinazotungwa na...
Nani alisema kukwama kwa JK huko Marekani ni bure? Our President is busy 'promoting' our good country...
Charity is All in the Family for Brad and Doug Pitt
Brad Pitt 's equally handsome...
SERIKALI, ambayo inahaha kujaribu kuzuia mgomo wa wafanyakazi uliopangwa kufanyika kuanzia Mei 5, imetangaza nyongeza ya asilimia 100 ya mishahara ya kima cha chini kwa wafanyakazi wa sekta...
WATU zaidi ya 200 mchanganyiko wa raia wa Burundi na Tanzania wamepiga kambi katika msitu wa hifadhi ya Igombe, wilayani Uyui na kujitangazia eneo hilo kuwa Jamhuri ya Ukombozi na kutundika...
Jamani wana JF:-
Kutokana na kashfa ya Radar inayosadikiwa kwamba amehusika.
Uingereza kukiri na kuamua kurudisha Tanzania kiasi cha pesa zizochukuliwa kifisadi.
Kuwa na kiasi kikubwa cha pesa...
Kutokana na kuendelea kwa miripuko ya volcano huko Iceland, mashirika ya ndege
yamesitisha safari zake ambapo yamepelekea rais Kikwete kuendelea kubaki nje ya nchi
kinyume na ratiba yake...