Kura yangu ni "NO" kwa Rita Mlaki...Uchaguzi October 2010 Jimbo la Kawe

Sajenti

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
3,671
Likes
36
Points
0
Sajenti

Sajenti

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
3,671 36 0
Mimi si mwanasiasa na kwa bahati mbaya sana nimejikuta nikiichukia siasa kutokana na ulaghai na majigambo ya baadhi ya wanasiasa wa Tanzania. Nikiwa mkazi wa jimbo la kawe nimefikia mahali nashawishika kusema kuwa mbunge wa sasa wa jimbo la kawe Rita Mlaki si kiongozi wa kutumikia wananchi hata kidogo. Mtu anaweza kusema nina chuki na huyu mama, HAPANA...Lakini huyu mama katika muda wote akiwa mbunge ameshindwa kutekeleza yale aliyoahidi kwenye kampeni zake 2005. Baadhi ya mambo hayo ni kuondoa kero ya upatikanaji wa maji katika maeneo kadhaa ya jimbo hilo kama vile Makongo Juu, barabara mbovu kutokea chuo cha ardhi kuelekea huko huko makongo juu,barabara mbovu kabisa na kero ya maji eneo la goba.

Tunashuhudia kero na tabu ya usafiri kutoka mwenge kufika huko makongo. Nauli za daladala zinaongezeka kadri muda unavyokwenda. Kuanzia asubuhi mpaka saa 12 jioni nauli Sh. 250, kuanzia saa 1 jioni mpaka saa 2 usiku nauli Sh.300, kuanzia saa 2 na kuendelea nauli ni Sh. 500. Unaweza kuwalaumu wenye magari lakini wanachofanya ni sawa kwa upande fulani kwani kwa hali ya barabara katika eneo hilo mwisho wa siku ni kuharibu magari yao. Kwa hiyo kwa mtazamao wangu huyu mama hafai tena kupewa kura za ubunge. CCM kama watataka kuleta mambo ya kushinikiza kuweka wagombea wao kwa interest zao ni wazi watapata aibu.....Wanakawe tuache unafiki tuwe wakweli kwenye hili. Kukubali kununuliwa na kisha kupata usumbufu na kero kwa miaka mingine mitano haiwezekani....
 
J

jingoist

Member
Joined
Mar 24, 2010
Messages
39
Likes
0
Points
0
J

jingoist

Member
Joined Mar 24, 2010
39 0 0
mpigeni chini tu asilete mambo ya kujinufaisha peke yake at the expense huduma kwa jamii
 
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2008
Messages
27,609
Likes
32,164
Points
280
Pascal Mayalla

Pascal Mayalla

JF-Expert Member
Joined Sep 22, 2008
27,609 32,164 280
Sajenti usiwe na shaka, Jimbo la Kawe, kwa CCM, hasimamishwi tena huyu mama, this time ni zamu ya Zainudin Adamjee.
Mhe. Rita Mlaki ni mtu mwenye bahati sana, kwanza amejaaliwa figure matata, pili ana mguu wa nguvu, na 3 anajua kuvaa.

Tangu akiwa UDSM, alijua kuvitumia vipaji vyake hivyo vitatu vizuri, akagraduate with flying colors, (japo wengine walisema ni maksi za kwenye ch..pi)

Ameolewa na ana mume mwema, lakini haikumzuia kupandia ngazi kwa kutumia mgongo wa kigogo fulani wa TISS aliyempigia chapuo mpaka kaukwaa unaibu waziri. Hapo ndio ukawa mwisho wake.

Ben alilazimika kumvumilia maana waliomuweka Ben ndio alipoegemea mama, there were no way. JK alipoingia, ameingia na timu yake. Godfather wa kumbeba mama sasa hayupo, CCM itamtosa inabidi aangalie ustaarabu mwingine.

Jamani uongozi sio nafasi tuu, ni pamoja na uwezo. Ukibebwa, basi na wewe ubebeke, huyu mama kabebwa sana mpakas habebeki tena, uwerzo ni sifuri, zero!.

Akitokea mpinzani makini toka chama makini kama Chadema, Jimbo la Kawe linahama CCM kiulaini kama kumsukuma mlevi. Wakazi wengi wa jimbo hilo wameichoka CCM kupindukia, but with no resious opposition, na hakuna mgombea makini, they might be left with no option again zaidi ya kuichagua CCM.

Kwa vile safari hii ni Adamjee, jamaa anazo za ukweli na ni mkataji wa ukweli, fulana na kofia masikini wa mavazi watavaa, wenye njaa watashibishwa pilau, ila pia na maendeleo ataleta kama alivyoinunua Tanganyika Packers na kuitengea uwanja wa wazi kule mbele wana Kawe kujiburudisha halikadhalika uwazi wa nyuma ni burudani ya mapikipiki kila siku za Jumapili jioni. Adamjee akipita, kuna mpenzi mmoja wa salaam kwa jina la Hassan Keya Kaniki, naye ataula, ndiye mbeba mikoba yote ya Adamjee aliyempeleka mpaka Mlingotini kuusaka ubunge wa Kawe!.
 
N-handsome

N-handsome

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2008
Messages
2,340
Likes
143
Points
160
N-handsome

N-handsome

JF-Expert Member
Joined Jan 23, 2008
2,340 143 160
Bye bye mama, lakini huwezi jua kajipanga vipi aweza kuja na vitenge vya kumwaga na biriani then mambo tambarare
 
Sajenti

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
3,671
Likes
36
Points
0
Sajenti

Sajenti

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
3,671 36 0
Bye bye mama, lakini huwezi jua kajipanga vipi aweza kuja na vitenge vya kumwaga na biriani then mambo tambarare
..Usemacho mkuu kinawezekana kabisa. Hii inji bana tunaweza kufanyiwa mazingaombwe ukashangaa eti kwenye kura za maoni Rita amepitishwa. Kwani 2005 ilikuwaje? Adamjee alitengenezewa zengwe la hatari kuwa jamaa alicheza faulo hatimaye wakampiga chini. Huwezi kuamini pamoja na kwamba tunasema Dar imechoka lakini huku kawe ni mbaya kabisa. Mbunge hata kutembele awapiga kura wake asikie wana maoni gani hawezi? Ameshakuwa mjasilia mali zaidi na kama alivyosema Pasco hapo juu huenda ame-opt kutumia vipaji vyake alivyojaliwa na mungu kuendesha maisha. Lakini kwa maoni yangu she's next to Zero!!!!
 
AK-47

AK-47

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2009
Messages
1,380
Likes
8
Points
135
AK-47

AK-47

JF-Expert Member
Joined Nov 12, 2009
1,380 8 135
Agombee asigombee hafai kabisaa hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi... ni adui namba moja wa maendeleo ya jimbo la Kawe.
 
mabina

mabina

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2009
Messages
215
Likes
10
Points
35
mabina

mabina

JF-Expert Member
Joined Nov 2, 2009
215 10 35
Sajenti usiwe na shaka, Jimbo la Kawe, kwa CCM, hasimamishwi tena huyu mama, this time ni zamu ya Zainudin Adamjee.
Mhe. Rita Mlaki ni mtu mwenye bahati sana, kwanza amejaaliwa figure matata, pili ana mguu wa nguvu, na 3 anajua kuvaa.

Tangu akiwa UDSM, alijua kuvitumia vipaji vyake hivyo vitatu vizuri, akagraduate with flying colors, (japo wengine walisema ni maksi za kwenye ch..pi)

Ameolewa na ana mume mwema, lakini haikumzuia kupandia ngazi kwa kutumia mgongo wa kigogo fulani wa TISS aliyempigia chapuo mpaka kaukwaa unaibu waziri. Hapo ndio ukawa mwisho wake.

Ben alilazimika kumvumilia maana waliomuweka Ben ndio alipoegemea mama, there were no way. JK alipoingia, ameingia na timu yake. Godfather wa kumbeba mama sasa hayupo, CCM itamtosa inabidi aangalie ustaarabu mwingine.

Jamani uongozi sio nafasi tuu, ni pamoja na uwezo. Ukibebwa, basi na wewe ubebeke, huyu mama kabebwa sana mpakas habebeki tena, uwerzo ni sifuri, zero!.

Akitokea mpinzani makini toka chama makini kama Chadema, Jimbo la Kawe linahama CCM kiulaini kama kumsukuma mlevi. Wakazi wengi wa jimbo hilo wameichoka CCM kupindukia, but with no resious opposition, na hakuna mgombea makini, they might be left with no option again zaidi ya kuichagua CCM.

Kwa vile safari hii ni Adamjee, jamaa anazo za ukweli na ni mkataji wa ukweli, fulana na kofia masikini wa mavazi watavaa, wenye njaa watashibishwa pilau, ila pia na maendeleo ataleta kama alivyoinunua Tanganyika Packers na kuitengea uwanja wa wazi kule mbele wana Kawe kujiburudisha halikadhalika uwazi wa nyuma ni burudani ya mapikipiki kila siku za Jumapili jioni. Adamjee akipita, kuna mpenzi mmoja wa salaam kwa jina la Hassan Keya Kaniki, naye ataula, ndiye mbeba mikoba yote ya Adamjee aliyempeleka mpaka Mlingotini kuusaka ubunge wa Kawe!.
Mtu wangu unaonekana unaifuatilia sana siasa . Kwa ssm (ccm) haishindwi kitu ikitaka kulibakisha, ila siasa ya kibongo inachefua!!!! Kwani utapeli unaofanywa mpaka tusiojua umafia wa siasa tunashtuka, waulize watu wa musoma, mmbuge wao wa sasa alivyozomewa siku ya kampeni pale mkendo, mpaka Jah Kaya akamshusha juakwaani, ila baada ya uchaguzi kashinda tena kiulainiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11111
 
Sajenti

Sajenti

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
3,671
Likes
36
Points
0
Sajenti

Sajenti

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
3,671 36 0
Mtu wangu unaonekana unaifuatilia sana siasa . Kwa ssm (ccm) haishindwi kitu ikitaka kulibakisha, ila siasa ya kibongo inachefua!!!! Kwani utapeli unaofanywa mpaka tusiojua umafia wa siasa tunashtuka, waulize watu wa musoma, mmbuge wao wa sasa alivyozomewa siku ya kampeni pale mkendo, mpaka Jah Kaya akamshusha juakwaani, ila baada ya uchaguzi kashinda tena kiulainiiiiiiiiiiiiii!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!11111
..Mabina, mimi naamini katika nguvu ya umma. Tatizo nilionalo ni kuwa sehemu kubwa ya umma wa Tanzania umejawa na hofu na kulishwa propaganda za kuwa bila CCM maisha hakuna. Si kweli pale CCM wanapofanya kazi nzuri tuwapongeze lakini wakibalanganya mambo tuwaambie kuwa mmeshindwa na ikibidi tuwatoe wakae pembeni waingie wanye uwezo wa kazi hata kama wanatoka vyama vya upinzani. Kwa nini hatujifunzi kwa wenzetu nchi zilizoendelea kwenye demokrasia. Hivi Obama kumbakisha Robert Gates kuwa Waziri wake wa mambo ya ndani ingawa ni Republican ni nini?? Mtu unaangalia maslahi ya nchi kwanza mengine yanafata. Sasa Tanzania viongozi wanabebwa hata wengine wasiobebeka..Sijui ni akili au matope??
 
saitama_kein

saitama_kein

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2009
Messages
982
Likes
3
Points
33
saitama_kein

saitama_kein

JF-Expert Member
Joined Oct 29, 2009
982 3 33
Bye bye mama, lakini huwezi jua kajipanga vipi aweza kuja na vitenge vya kumwaga na biriani then mambo tambarare
Ipo siku na si mbali watanzania wataamka......na ndo mwisho wa mafisadi!!
 
Kinyambiss

Kinyambiss

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2007
Messages
1,372
Likes
7
Points
135
Kinyambiss

Kinyambiss

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2007
1,372 7 135
Sasa mnampa mama Lema? au mnampa Elias Massawe? Kawe tuambieni...
 
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Messages
5,410
Likes
26
Points
0
Zak Malang

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined Dec 30, 2008
5,410 26 0
Sajenti usiwe na shaka, Jimbo la Kawe, kwa CCM, hasimamishwi tena huyu mama, this time ni zamu ya Zainudin Adamjee.
Mhe. Rita Mlaki ni mtu mwenye bahati sana, kwanza amejaaliwa figure matata, pili ana mguu wa nguvu, na 3 anajua kuvaa.

Tangu akiwa UDSM, alijua kuvitumia vipaji vyake hivyo vitatu vizuri, akagraduate with flying colors, (japo wengine walisema ni maksi za kwenye ch..pi)

Ameolewa na ana mume mwema, lakini haikumzuia kupandia ngazi kwa kutumia mgongo wa kigogo fulani wa TISS aliyempigia chapuo mpaka kaukwaa unaibu waziri. Hapo ndio ukawa mwisho wake.

Ben alilazimika kumvumilia maana waliomuweka Ben ndio alipoegemea mama, there were no way. JK alipoingia, ameingia na timu yake. Godfather wa kumbeba mama sasa hayupo, CCM itamtosa inabidi aangalie ustaarabu mwingine.

Jamani uongozi sio nafasi tuu, ni pamoja na uwezo. Ukibebwa, basi na wewe ubebeke, huyu mama kabebwa sana mpakas habebeki tena, uwerzo ni sifuri, zero!.

Akitokea mpinzani makini toka chama makini kama Chadema, Jimbo la Kawe linahama CCM kiulaini kama kumsukuma mlevi. Wakazi wengi wa jimbo hilo wameichoka CCM kupindukia, but with no resious opposition, na hakuna mgombea makini, they might be left with no option again zaidi ya kuichagua CCM.

Kwa vile safari hii ni Adamjee, jamaa anazo za ukweli na ni mkataji wa ukweli, fulana na kofia masikini wa mavazi watavaa, wenye njaa watashibishwa pilau, ila pia na maendeleo ataleta kama alivyoinunua Tanganyika Packers na kuitengea uwanja wa wazi kule mbele wana Kawe kujiburudisha halikadhalika uwazi wa nyuma ni burudani ya mapikipiki kila siku za Jumapili jioni. Adamjee akipita, kuna mpenzi mmoja wa salaam kwa jina la Hassan Keya Kaniki, naye ataula, ndiye mbeba mikoba yote ya Adamjee aliyempeleka mpaka Mlingotini kuusaka ubunge wa Kawe!.
Dole juu Pasco kwa hiyo contribution nzito. Umeniacha hoi!
 
M

Mzawa Halisi

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2009
Messages
555
Likes
69
Points
45
M

Mzawa Halisi

JF-Expert Member
Joined Feb 25, 2009
555 69 45
..Mabina, mimi naamini katika nguvu ya umma. Tatizo nilionalo ni kuwa sehemu kubwa ya umma wa Tanzania umejawa na hofu na kulishwa propaganda za kuwa bila CCM maisha hakuna. Si kweli pale CCM wanapofanya kazi nzuri tuwapongeze lakini wakibalanganya mambo tuwaambie kuwa mmeshindwa na ikibidi tuwatoe wakae pembeni waingie wanye uwezo wa kazi hata kama wanatoka vyama vya upinzani. Kwa nini hatujifunzi kwa wenzetu nchi zilizoendelea kwenye demokrasia. Hivi Obama kumbakisha Robert Gates kuwa Waziri wake wa mambo ya ndani ingawa ni Republican ni nini?? Mtu unaangalia maslahi ya nchi kwanza mengine yanafata. Sasa Tanzania viongozi wanabebwa hata wengine wasiobebeka..Sijui ni akili au matope??
Sajenti.......Nguvu ya umma itapatikana pale tu Elimu ya uraia itakapoenea miongoni mwa wapiga kura wote. Wapiga kura wengi hawawezi kuunganisha maendeleo ya nchi na uongozi uliopo madarakani, pale watakapoweza kuunganisha watachagua viongozi kwa yale watakayoahidi kutekeleza, wakishindwa hawatapata kura tena. Ukitaka Rita akose, saidia kutoa elimu ya uraia kwa wapiga kura wa Kawe....Period. Vitu vyake watakula, watakunywa, ikija kwenye sanduku la kura watampiga chini.
 
Elusive

Elusive

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2008
Messages
223
Likes
1
Points
35
Elusive

Elusive

JF-Expert Member
Joined Nov 26, 2008
223 1 35
Nimesikia Adamjee anajitayarisha kulirudisha jimbo lake.
 
K

Kilembwe

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2009
Messages
1,135
Likes
53
Points
145
K

Kilembwe

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2009
1,135 53 145
Halima Mdee na Mbatia nao wamo katika kuwania jimbo la Kawe
 
Forum statistics

Threads 1,250,303
Members 481,303
Posts 29,727,544