UwT, UvCCM na wanafunzi Ubungo Plaza kulikoni?

Kiroroma

JF-Expert Member
Feb 6, 2009
370
114
Mashati ya rangi ya kijani,Khanga na Tshirt za UWT pamoja na wanafunzi wa kike kutoka shule mbali mbali Jijini Dar wamejazana Blue Pearl Hotel Ubungo Plaza tangu asubuhi kulikoni?Wale mlio maeneo ya karibu mtuambie siasa na wanafunzi kuacha masomo kushinda kutwa nzima vina uhusiano gani?:confused3:
 
Watakuwa ni wale abiria wa lile gari la Mwanakijiji LILILOSHINDWA KUONDOKA toka lilipofanyiwa service mwaka 2005...Nadhani mwenye gari ameamua kuwapa huduma ya nguo ili wabadilishe wakati wakingojea gari lipone waendelee!...Lakini dalili zinasomeka kwamba gari hilo haliendi popote, maana dereva ameenda zake tour sijui nchi gani huko!
 
possible voters 2010
CCM mipango yao ni kubakia madarakani ili walirithishane utawala huku wakiwahadaa wapiga debe wao kwa biskuti.
shame to them
 
Back
Top Bottom