Elections 2010 Chanzo/Vyanzo Fedha Kwa CCm kwa Uchaguzi 2010

August

JF-Expert Member
Jun 18, 2007
8,388
4,053
Naomba wadau tuangalie vyanzo vya fedha vya CCM kwa ajili ya kununulia Kapelo, Pilau, T-shirt na kadhalika kwa ajili ya uchaguzi wa mwaka huu na madhara yake, Mimi nimejaribu kuangalia vyanzo hivi lakini tunaweza kuvirekebisha na kuviweka vizuri zaidi
ili wananchi waelemishwe madhara ya kupokea vitu vidogo vidogo ambavyo vitakuwa na
madhara katika maisha yao
Buzwagi Mines
Nzega Gold
Nyarugusu
Tarime
Geita Mines
Masalia ya Richmond
TRL
TISC
VODACOM
Miradi mingi ya Umeme
 
Back
Top Bottom