Elections 2010 Upigaji kura 2010 utakuwa wa kihistoria

Percival Salama

Senior Member
Feb 3, 2010
118
7
Helo Members wa JF. na watanzania kwa ujumla.

Tunajiandaa na uchaguzi hapo oktoba 31/10/2010. kila nikijaribu kuangalia na kutafakari kwa makini na nikijumlisha matamsha ya wanasiasa mbalimbali inaonyesha kuwa kuna matokea yasiyotarajiwa kama ilivyozoeleka kwenye uchaguzi mkuu ujao.

Tutarajie mabadiliko makubwa kutokana na dunia kuwa kama kijiji kulikochangiwa kwa kiasi kikubwa na mabadiliko ya teknohama na utandawazi.

Let we see kama utabiri wa Baba wa taifa utatimia oktoba.
 
mbona imekaa kizushi?

mie nilitegemea iwe umeonyesha hizo sababu zinazokusukuma kuamini hivyo, kumbe pumba tupu
 
Back
Top Bottom