Wakuu wa mikoa kuchangisha pesa za ccm


Kabuche1977

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2009
Messages
480
Likes
47
Points
45

Kabuche1977

JF-Expert Member
Joined Feb 10, 2009
480 47 45
sasa nchi itaendelea kweli kama hata mkuu wa mkoa ni kada wa ccm, si ndo mambo yale yale ya kukurupuka, kukurupuka hakutaisha, hivi hawa jamaa wanataka kumfurahisha nani?? Raisi au? chapeni kazi bwana acheni mambo ya kiccm, mmepewa kazi kuendesha shughuili za wananchi na sio chama, ndo maana imefikia wakati hizi kazi watu waombe kupitia CV zao na sio kuteuliwa, kwa nini mtu ateuliwe? hana akili au? wakuu wote wa mikoa na mawaziri wote waombe kazi kupitia CV na waitwe kwenye interviews au basi bunge likae na kuwainterview applicants wote na haya madaraka ya raisi kuteua watu liishe, hii itaongeza ufanisi wa watu kazini, sio kama sasa, watu huteuliwa and then job descriptions zao hawazijui as a result mikataba mibovu kila sehemu. Hivi wabunge mko wapi?? are you dreaming or deaming, wake up, shinikizeni amendment kwenye katiba ili raisi asiwe na power ya kuteua watu-------hii itaondoa utendaji mbovu serikalini na kwenye mashirika yote ya umma
 

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Messages
7,695
Likes
177
Points
160

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined Apr 24, 2008
7,695 177 160
Tunaomba source kabla hatujachangia tafadhali. Huwezi kuja leo leo bila hata utambulisho wala hodi, mgeni mbichi kabisa alafu unajiita mdaku kisha unaleta udaku.
Hapa ni mahala tunataka uthibitisho tu c udaku mkuu.
 

Forum statistics

Threads 1,204,740
Members 457,411
Posts 28,168,265