Uchaguzi huo unakuja Watanzania akili kichwani, It is about time tuwaondoe hawa Watu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Uchaguzi huo unakuja Watanzania akili kichwani, It is about time tuwaondoe hawa Watu

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Inviolata, May 6, 2010.

 1. I

  Inviolata Member

  #1
  May 6, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 71
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni muda mrefu tumekuwa tukichangia humu kwa point nzuri sana, kwa uchungu mkubwa sana dhidi ya mambo yanavyoendeshwa katika nchi hii. Ni wakati umefika kuonyesha commitment yetu katika nchi yetu hii nzuri iliyoharibiwa na viongozi wapenda rushwa na wasiojali maisha ya wananchi wao. Mimi, wewe, yule tuungane kwa pamoja tuwabwage hawa watu. Kinachokatisha tamaa kidogo ni kwamba hata upinzani wenyewe upo upo tu! (NOT VERY PROMISSING)! Hata sina uhakika ni nani katika Upinzani anayeweza akaleta mabadiliko?? In my opinion kwenye upinzani angalau Dr Slaa! What do u think guys?
   
 2. Zak Malang

  Zak Malang JF-Expert Member

  #2
  May 8, 2010
  Joined: Dec 30, 2008
  Messages: 5,410
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hatuwezi kuwabwaga bcoz our teeming populations in the rural areas especially is made of sheep instead of humans! They will vote from their hearts and not from their heads! That's the simple answer my friend!
   
Loading...