mchezaji, mnenguaji au mchekaji

Msengapavi

JF-Expert Member
Oct 23, 2008
8,754
7,536
Tanzania inahitaji Raisi mtendaji wa neno, si mchezaji, mnenguaji au mchekaji. Sina maana, kwa namna yoyote ile, kuwa mchezaji, mnenguaji au mchekaji, hafai kuliongoza Taifa letu, ila lazima nikiri hapa na sasa kuwa huyu mchezaji, mnenguaji au mchekaji amelihakikishia taifa kuwa hayo (uchezaji, unenguaji au uchekaji) ndiyo anayaweza zaidi. Dr Slaa akipata nafasi kama ya huyu mchezaji, mnenguaji au mchekaji ndo tutajua kama yeye anaweza zaidi au la. Until then (Kwa sasa) let JK be JK and Dr Slaa be Dr. Slaa.
 
Back
Top Bottom