Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

NASHANGAZWA NA MAAMUZI YA CCM KUSEMA HUSSEIN BASHE KUWA SI RAIA WA TZ,NA KUKUMBUSHIA HISTORIA YA ULIMWENGU PIA,SASA NI WAZI KWA YEYOTE AMBAYE ATKUWA KINYUME NA MATAKWA YA MABWANA WAKUBWA LAZIMA...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Akihojiwa na Clouds FM leo, January aliulizwa kama alimshirikisha baba yake katika azma yake ya kwenda kuomba uteuzi... Wakati anajibu aliweka sentensi kuwa 'nilimwambia kuwa ...baba naenda...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Can Fragile Opposition Defeat CCM? By Guardian on Sunday team, Dar Es Salaam, Tanzania 15th August 2010 Strategists within the ruling party are weighing their options after Dr Wilbrod Slaa's...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Zanzibar Wants Union Constitution Overhauled By The Guardian reporter, 13th August 2010 Justice minister Chikawe not ready to comment “on such a sensitive and delicate issue” on phone Zanzibar...
0 Reactions
74 Replies
7K Views
Nimepata taarifa toka kwa mdau mmoja toka dodoma ambaye alifanikiwa kujipenyeza kwa wajumbe wa halmashauri kuu ya chama cha sisiem akawasikia wakisema wataicheza tu kichama kuweka mambo level kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari kutoka Dodoma zinadai kuwa aliyekuwa mbunge wa Mtera Mh. Malecela amepigwa chini wakati akiwa anategemea kurudishwa kwenye ugombea wa jimbo hilo. Habari vilevile zinadai kuwa Mzee Ruksa...
0 Reactions
26 Replies
4K Views
IKIWA imesalia takriban miezi miwili na nusu kabla ya uchaguzi mkuu, serikali inaonekana kuwaangukia wafanyakazi kwa kuongeza mishahara, huku kima cha chini "kikikaribia mapendekezo ya pili ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
14th August 10 Mramba case set to resume September 3 Rosemary Mirondo The Kisutu Resident Magistrate's Court will resume hearing of a case of abuse of office and...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu naleta mada ya uchokozi wa mawazo. Siasa za mwaka huu 2010 zinaenda kwa kasi ya ajabu.Matukio ya kura ya maoni Zanzibar yanaashiria kuvuruga muunganp na kuleta umoja huku Bara ikiwa njia...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
M. M. Mwanakijiji JUZI Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), walipiga kura ili kuanza mchakato wa kujua ni kina nani watakuwa wagombea wa chama hicho kwenye nafasi za udiwani, uwakilishi na...
0 Reactions
33 Replies
4K Views
Ni kweli umekaa/umetutumikia muda mrefu,sasa ni wakati wako wa kupumzika,wala usijisikie vibaya kushindwa. Hata kama hakuna tafrija ya kukuaga,mimi nitakuaga kwa kukushukuru kwa machache mazuri...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
THE government has warned the Tanzania Union Congress of Tanzania (TUCTA) to refrain from politics or face legal action. The Deputy Attorney General, Mr George Masaju said in Dar es Salaam on...
0 Reactions
155 Replies
14K Views
East Africa's leading youth channel - East Africa Television (EATV/Radio) - yesterday launched a special campaign which aims at educating youths on the importance of participating in the...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Maadili ya uchaguzi yanalinda CCM Na NdimaraTegambwage YALE yanayoitwa "maadili," ambayo vyama vya siasa vinatakiwa kusaini na kufuata wakati wa kampeni na uchaguzi mkuu Oktoba mwaka huu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika makala yake ya leo, Ansbert Ngurumo amejadili suala nyeti na ndani yake kuna tuhuma za hujuma za kimafia zikifanywa na wasaidizi wake juu ya wagombea ambao wanaonekana kuwa tishio kwake...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Na Jenerali Ulimwengu Agosti 11, 2010 Raia Mwema KATIKA hali tuliyoishuhudia wakati wa kura za maoni ndani ya chama - tawala si rahisi kwa ye yote anayefuatilia masuala ya siasa za nchi hii...
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Ningekuwa mgombea ningehakikisha yafuatayo yanakuwa ngao yangu kwenye kampeni. 1. Kurudisha na kuimarisha Heshima na Hadhi ya Mwananchi na Taifa la Tanzania. 2. Kurudisha na kuimarisha Heshima...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
ninapenda sana kuona uongozi wa vijana ktk nchi hii,alipokatishwa Zitto uenyekiti ili baadae agombee urais niliona kweli wazee wa CHADEMA ni waoga kwa vijana na ndio maana kumekuwa na kambi...
0 Reactions
48 Replies
5K Views
Mmoja wa wagombea ubunge wa CCM aliyeshinda nafasi hiyo kwenye kura za maoni amenusurika kuuwawa na jambazi aliiyetumwa kummaliza baada ya jambazi huyo kumwambia kwamba yeye ni mtu mwema...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…