Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,476
- 39,995
Asante Mzee Mwanakijiji, nakushukuru kwa kuiona tena 'Cheche' angani. Huu ni wakati wa kiangazi, majani yote yamekauka, hivyo cheche moja tuu yatosha kuwasha moto nyikani!.
Asante Mzee Mwanakijiji, nakushukuru kwa kuiona tena 'Cheche' angani. Huu ni wakati wa kiangazi, majani yote yamekauka, hivyo cheche moja tuu yatosha kuwasha moto nyikani!.
shukrani.. mkuu Pasco tunatarajia ushirikiano kutoka kwenu. Nadhani waliokuwa wameinua matanga ya Cheche watashtuka..
Ilani za vyama mara nyingi huwa nzuri, hakuna chama kinaweza kutoa ilani ya hovyo hovyo. Hata ukisoma ilani za CCM kwa chaguzi zilizopita, huwa ni nzuri, lakini utekelezaji/watekelezaji hakuna. Hongera sana CHADEMA kwa hiyo ilani japo sijaiona.
Mzee tumeshaanza kuisambaza naomba uitoe kila wiki hadi pale utawala wa haki na sheria utakapoingia madarakani.... Mungu aendelee kuwabariki wale wote wanaoendelea kupigana, wakati mwingine kwa ujira mdogo kuliko ambavyo wangeliweza kupata kama wangetumia uwezo wao kujinufaisha wao.. Nawaombea kwa Mungu ili nguvu na jitihada zao zilipwe pamoja na riba.
Mwankijiji nashukuru sana kwa cheche na info zako.
I dare calling you ''a senior patriotic citizen'' kupitia makala zako na riport zako hasa ile ya ''vyote vimeremetavyo''.
ubarikiwe mzalendo wa kweli.
Thanx much for cheche, this iz da right tym to rise again.
Thanks mkuu. Jinsi cheche ilivyo naamini inaweza kutumiwa pia na wananchi wa kule kwetu. Vipi mikakati yake ya usambazaji?
Itasaidia sana.
Ndugu yangu kijarida hiki kinafika sehemu ambazo huwezi hata kuamini.. kama kuna internet basi kimefika!
Wazee hawanyamazi mpaka wafe!
It is good to see CHECHE again..
Kwa hiyo unataka kutuambia kwamba wewe Mwanakijiji tayari umekwisha isoma Ilani ya Chadema!kuna tofauti; nimesoma Ilani za CCM tangu zikiwa za TANU... naweza kusema pasipo shaka kabisa kuwa walichoandika Chadema hakifanani kabisa na hizi nyingine! Mkishajua dira wapi mnataka kwenda na mkakubaliana mnakotaka kwenda, na mkawaweka mbele yenu viongozi wa kuwaongoza huko mnakotaka kwenda basi kuitekeleza linabakia kuwa ni suala la kuwajibishana tu.