Chadema wakiingia madarakani ulinzi wa rais utakuwa ................ | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema wakiingia madarakani ulinzi wa rais utakuwa ................

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ngekewa, Aug 19, 2010.

 1. N

  Ngekewa JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 8, 2008
  Messages: 7,730
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Nilikuwa naahgalia taarifa ya habari na niliangalia kwa hisia namna walinzi wa Mgombea wa urais kwa kupitia CHADEMA walivyo shupavu kwa kufuatilia gari ya Bosi wao kwa miguu. Jee hali itakuwa hivi iwapo Dr Slaa ataingia madarakani?
   
 2. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #2
  Aug 19, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  Unawaza nini now?
  Masuala ya ulinzi ni protokali tu ila cha msingi ni utekelezaji wa ahadi na si msururu wa ulinzi.
  pumba punguzeni jamani
   
Loading...