CCM Wazua foleni - Tena!

Liz Senior

JF-Expert Member
Apr 19, 2007
483
53
Wenye nchi yao hivi sasa wamezua tafrani mjini. Kuna foleni ya kufa mtu hakuna gari linasogea...JK anarudisha fomu! Maisha bora kwa waendao kujenga Taifa!
 
nikiwatazama ccm, mashabiki wao, im sorry ninamashaka juu ya jambo moja, ni kweli wanakipenda chama chao kwa itikadi ? ama bongo zao ...........................?
 
Ho walioziba njia hawaendi kazini? Ama kweli hahitaji kura zenu wafanyakazi!!:lol:
 
Mimi nimejiuliza huu umati wote wanafanya nini kwa kawaida? Waajiriwa? wajasiriamali? Au? Leo hii wapo barabarani siku ya kazi, Asubuhi! Wameaga vipi makazini?

Last time JK akiwa anatoka Dodoma msomi mmoja tulikutana akiwa na kundi la wanachuo (UDSM) pale uwanja wa ndege akaniambia siku utakapojua tunapata nini huku utajiunga na sisi! Nilimwangalia nikamhurumia jinsi anavyoburuta minyororo yake ya umaskini wa mawazo na uvivu wa kufikiri. Huyu ni msomi! Kichwani nikajisemea...over my dead body!
 
waliokunywa maji ya bendera ya chama wameblock mitaa,sijua na sisi tukirudisha tutaruhusiwa kufanya hivyo?????????
 
Hivi Jk ukiamua kuridisha hiyo fomu Peke yako bila Bughudha kwa watumia barabara utapungukiwa nini?
 
Wenye nchi yao hivi sasa wamezua tafrani mjini. Kuna foleni ya kufa mtu hakuna gari linasogea...JK anarudisha fomu! Maisha bora kwa waendao kujenga Taifa!
Kwanini asitumie chopper? Mbona Obama anatumia CHopper za jeshi kwa safari za mjini?
 
Ho walioziba njia hawaendi kazini? Ama kweli hahitaji kura zenu wafanyakazi!!:lol:

yaaani ni wazuraji wale, waganga njaa, watu waliofadhaishwa na mfumo wa kilafi na kibakaji wa ccm, Ujinga wao unawapofusha macho, hawamjui adui yao, hawajui mchawi anae waulia watoto wao.
ccm inatumia ujinga wao kama mtaji, fulana, khanga, kofia, kweli ni matusi kwao. wamepumbazika kwa uduni na umasikini wao wa maisha.
 
Wenye nchi yao hivi sasa wamezua tafrani mjini. Kuna foleni ya kufa mtu hakuna gari linasogea...JK anarudisha fomu! Maisha bora kwa waendao kujenga Taifa!

Hayo maandamano yana kibali?? Na ile kauli ya RPC wa ilala kuwa hakutakuwa na msongamano leo ilikuwa na maana gani, au hakuna maandamano kwa waupinzani, ila kwa sisi M ruksa??

Ukifikiria sana mabo yanavyoendeshwa nchi hii unaweza ukawa na presha kila kukicha.../

"KAMA KILIVYOPITA KIZAZI KILE CHA WATU WALIOKUBALI KUTUMIKISHW KATIKA UTUMWA, NDIVYO KITAKAVYOPITA KIZAZI HIKI AMBACHO KWA MAKUSUDI KABISA WAMEKUBALI KUWA WATUMWA NA KUUZA UTU (kura) WAO KWA BEI YA MLO MMOJA HUKU WAKIWAPA WENZAO MLO WA MIAKA MI 5.
 
Hiyo ni Tanzania na ugonjwa wa TANZAPHILIA yaani mapenzi ya kupindukia bila sababu za msingi,kwa mtaji huu hatupigi hatua ya maendeleo,upeo mdogo.
 
Huwa nikiwaangalia supporters wa CCM nawaonea huruma. Maana hawajui nani ni mwana-ccm halisi. Wanajiendeaendea tu masikini. Siku wakijua patachimbika...

Mtaji wa CCM ni ujinga wa wadanganyika!!!!
 
yaaani ni wazuraji wale, waganga njaa, watu waliofadhaishwa na mfumo wa kilafi na kibakaji wa ccm, Ujinga wao unawapofusha macho, hawamjui adui yao, hawajui mchawi anae waulia watoto wao.
ccm inatumia ujinga wao kama mtaji, fulana, khanga, kofia, kweli ni matusi kwao. wamepumbazika kwa uduni na umasikini wao wa maisha.

Hapo umesema kweli. Ni watu wasio na kazi.
 
Huwa nikiwaangalia supporters wa CCM nawaonea huruma. Maana hawajui nani ni mwana-ccm halisi. Wanajiendeaendea tu masikini. Siku wakijua patachimbika...

Mtaji wa CCM ni ujinga wa wadanganyika!!!!

...Full Stop!
 
Kwanini asitumie chopper? Mbona Obama anatumia CHopper za jeshi kwa safari za mjini?

Chopper zenyewe mbovu hizo mzee si ajali? Kwani hajui ilikuwa deal ya RA et el? watakufa nazo wanajeshi tu, hivi bado zinatumika nzima ya Mwema tu si za JW
 
Back
Top Bottom