Kwa Wahusika Chadema: Nina wazo la kusaidia kampeni ya Mh. Slaa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wahusika Chadema: Nina wazo la kusaidia kampeni ya Mh. Slaa

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Steve Dii, Aug 19, 2010.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Aug 19, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kwa waratibu wa kampeni ya Mh. Slaa katika kugombea Urais 2010,

  Napenda kuwajulisha tu kuwa nina wazo lililonijia katika siku chache zilizopita ambalo nina amini linaweza kusaidia katika kampeni za urais kwa Mh. Slaa. Ni wazo ambalo ningependa kuongea na wahusika katika kampeni kabla ya kuliweka hadharani mtandaoni.

  Basi, kama kuna anayehusika kwa ukaribu na angelipenda nimweleze, naomba awasiliane nami kwa PM hapa JF.

  Angalizo 1: Sitajibu PM nitakazo ona ni upotezaji wa muda. PM zote zinukuliwe kwa Invisible, Silencer, Farida, Maxence Melo na PainKiller.

  Angalizo 2: Natoa mawazo yangu kusaidia kampeni ya Dr. Slaa kutokana na kumkubali kwangu kwa hoja alizosimamia bungeni. Nikiwa si mwanachama hai wa chama chochote kile cha siasa, mawazo haya niliyonayo ningeliweza kumpatia mgombania urais yeyote yule ambaye ningelikubaliana na rekodi yake kwenye kutetea maendeleo ya Taifa letu.

  Natanguliza shukrani zangu.

  Steve Dii
   
 2. M

  Mutu JF-Expert Member

  #2
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 30, 2008
  Messages: 1,333
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kwanini njia ndefu hivyo wakati kuna email address za kina slaa,nzito,Mnyika ,Kitila ,kwa nini usi wa PM hayo si wako hapa pia?
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Aug 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Njia hii imekuwa rahisi kwangu. Nashukuru kwa mawaidha.
   
 4. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #4
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,980
  Trophy Points: 280
  Mutu

  Huyu anataka kupoteza muda bure nani asiyejua msimamo wake dhidi ya Chadema? au anataka kuwashauri hivi

  Kama ni hivi is too late my friend jaribu kwa Makamba.
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Aug 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mkuu, mi si mmoja wa wale wanaopenda kujibizana pumba over pumba na kwa mambo ya kusadikika. Naomba uoneshe pahali nilipoandika kuhusu msimamo wangu kuhusu chadema.

  Quinine, Je, huo uliuona kuwa ni ushauri?!
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Lakini Stivu, kwa nini tu usiwasiliane moja kwa moja na CHADEMA? Wana mtandao, wanachama wake kama akina Mnyika, Regia, na wengineo wako fesibuku, why not reach out to them directly? Doing that sounds more logical to me but who am I to say....

  Here you are just inviting all kinds of folks to chime in and ultimately hijacking the topic, mudsling, etc....
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Aug 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Dawg, I totally agree with you that that might have been an easy option, as seen by you and may be many others. But like I have said before, my thought at conception of thread, this was the easiest option for me. Will stand by it and await response from appropriate parts. Kind regards.

  Steve Dii
   
 8. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #8
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Aiight mayn...
   
 9. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #9
  Aug 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Huu ndio msimamo hasi wa washabiki wa kisiasa.... siupendi ukiwa hivi... you ahve to uderstand kwamba sio kila anayechallenge kitu basi ni mpinzani wako, some people oppose some of your proposals but they are still supporting your objectives

  when will tanzanians think outside the box??? no wonder our marriages are worse than our work environment

  eeiiishh
   
 10. M

  Mkandara Verified User

  #10
  Aug 20, 2010
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Mimi nachowaomba Chadema ni kusimamisha watu wenye Umaarufu ktk majimbo yoote Tanzania na sii baadhi tu, jambo ambalo linaweza kuwapa ushindi CCM ya jumlisho la hizo kura. Kwa sababu kwa kila jimbo ambalo hawatasimamisha mtu, CCM itakuwa na hesabu ziada ya wapiga kura kiti cha Ubunge na Rais na pengine kuongeza hesabu zaidi ya kura za ushindi wenyewe kufidia mapengo ktk sehemu walizopwaya. Sijui kama nimekosea kulingana na utaratibu wa kura za popular (maarufu)

  Chadema wasifanye makosa kabisa kama ya CCM kuweka watu kugombea sehemu kwa sababu ya kuaminiwa na chama badala ya kuwatazama wananchi wanampa dole gumba nani zaidi..
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Aug 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Ushauri kwako kakangu sitivu D

  Nimejifunza kitu kimoja, baadhi ya watu humu hata ukiwapinga herufi tu kwenye post, basi wewe hufai kuwa nao... hili ndilo tatizo sugu lililopo hata kwenye wizara na idara za serikali yetu kiasi hata ukisema karatasi za PF3 zimeisha, wanasema wewe hupendi nchi wewe ni mzalendo, ukichukua na kutoa potocopy nakala 1000 watasema wewe ni fisadi na umehonga polisi

  sijui tufanyeje

  Binafsi issue ya mpendazoe kugombea ukonga imenitumbukia nyongo, ni kama ile ya CCM kumyima Nyimbo nafasi... au ile ya sisi kudharau azma nzuri ya CCM kufanya primaries, ingawa zoezi limeharibiwa na walafi

  i love Tanzania
   
 12. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #12
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,980
  Trophy Points: 280
  Acid

  Sijawahi kukuona ukichangia kitu hata siku moja wewe unasubiri wazee waseme kitu uje kulalamika changia basi hata kidogo au kuchangia kwako ni kwa njia ya kulalamika.
   
 13. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #13
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  What do you mean by "kuchangia"? Kwani hivyo alivyofanya sio "kuchangia"? Kaaazi kwer kwer....
   
 14. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #14
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,980
  Trophy Points: 280
  kama kuchangia ni kujaza page haya tuendeleeni hivi hivi tuone kama tutatoka na kitu cha maana.
   
 15. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #15
  Aug 20, 2010
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Hapa sijui wewe ndio umechangia au sijui ndio umejaza kurasa tu? I don't know....
   
 16. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #16
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,980
  Trophy Points: 280
  kwani wewe umechangia nini hapa
   
 17. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #17
  Aug 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  that is where we differ

  sio kila hoja nianzishe mimi, na sio kila angenda wewe/mimi tuunge mkono, cha maana ni kuelewa kwamba watu wana tofautiana. kama nalalamika basi nilikua sijastukia

  masikitiko yangu ni kwamba nchi haijengwi kwa mmoja kusema tufanye hiki basi na wote woote tufuate. kubali kwamba hata kwenye kusoma salam maria au al-fatha basi synchronization sio 100%

  ukinielewa utanielewa, usiponielewa, hautanielewa
   
 18. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #18
  Aug 20, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,865
  Likes Received: 11,980
  Trophy Points: 280
  Ni jana tu mlikuwa mnasema Chadema haiwezi kupewa nchi leo mnataka kuwa washauri wa Chadema unafiki huo. Hatudanganyiki.
   
 19. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #19
  Aug 20, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  labda anatembea na kofia ya kukusanya anayotaka
   
 20. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #20
  Aug 20, 2010
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Acid,
  I concur with you, that is exactly my sentiment following Quinine's remarks, only you could express them more clearer! Kama unavyosema tu, hii ni synopsis of "YES culture" na uendelezaji wake in our society. As long as mtu hukubaliani naye kuhusiana na kitu kimojawapo, be it in or out of context, you totally become a reject and abhorrent before them... The issue about Mpendazoe irked me and I believe many, my objection and hence that immediately personal comment was elaboration of my views from what I read and as an engagement to Shalom's comment on that very particular matter. How many wouldn't have preferred him to go to Kishapu instead of Segerea?! Anyhow, am dead sure many who understands my stance on these forums wouldn't go amiss with my clear intention.
   
Loading...