KAMPENI ZA JK KYELA 31 August 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

KAMPENI ZA JK KYELA 31 August 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Njowepo, Aug 31, 2010.

 1. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Leo JK Kikwete alikuwa wilaya ya Kyela kumalizia kampeni zake mkoani Mbeya.
  Jana Ridhiwani alitangulia ili kuweka mazingira sawa na alipewa sharti la kuhakikisha mkuu wa mkoa asihudhurie huo mkutano au hata kama atahudhuria basi asiongee.
  Mteja mfalme JK alitii hayo na kwa kweli RC alihudhuria na kubaki kama sanamu.Wanakyela walipanga kuondoka uwanjani kama RC angepewa nafasi ya kuongea.
  Huwezi amini mapokezi aliyoyapata JK mpaka aliingia dimbani kucheza.
  Mafanikio ya ziara hiyo uko Kyela wa kupongezwa ni Dr Mwakyembe ambaye alipita uku na kule kuwasihi wananchi wasije tibua kampeni kwa kinyakyusa alikuwa akisema”ngubhasuma bha tata”
  Kwa kushirikia na Mwandosya jazba za wanakyela ilishuka na JK alihutubia kwa amani na kuahidi mambo kedekede ikiwemo kuweka rami barabara ya matema.
  Pole Mwandosya kwa kuhangaika mkoa mzima kumnadi JK na Mwakyembe kwa kumnadi JK kyela na kuepuka jazba ya wanakyela.
  Kuna TETESI kuwa Chunya alizomewa mwenye news atuhabarishe
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160

  Habari kama hizi kiongozi tuwekee na vipicha ili sisi wengine tumwone Jakaya Kaishiwa akicheza

  ngubhasuma bha tata!
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  hivi Ridhiwani ni nani kichama na kiserikali?, kaazi hipo mwaka huu
   
 4. Plato

  Plato JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 421
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 33
  Hapo ndipo ccm wanapokuacha mdomo wazi.kumbe mwandosya na mwakyembe wizi mtupu.
   
 5. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Njowepo,

  Asante kwa taarifa ya ziara ya JK. Ila kwa wakuu wa wilaya na mkoa kote huwa hawapewi nafasi ya kuongea kwasababu ni wafanyakazi wa serikali pia na chama kinaogopa kuonekana kinawatumia kwenye uchaguzi.
   
 6. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hivi wewe hujajua kuwa urais wa tanzania kupitia sisiem ni suala la kifamilia?
  kama hujui chunguza Mama anna mkapa kama bado anapeta, tafuta mama salma yuko wapi na anafanya nini, nenda nkwenye kumbukumbu zako uangalie waziri wako wa ulinzi husein mwinyi alikuwa mbunge wa wapi 2000 2005 na sasa yuko wapi! hapo utajua ccm ni kitu gani na Ridhwani ni nani
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Kuna maeneo RC huwa anasimama kuwakaribisha wageni iwe upinzani au CCM bse ndo anakuwa mwenyeji wako,several time Kyela keshawai simama na kuongea.
  Mbali na ahadi ya Lami kwenda Matema beach pia kaahidi kivuko na meli kwa Lake Nyasa alafu akaishia kusema kuna watu wanataka nisiahidi watu wakacheka nadhani alikuwa anarefer CHADEMA.
  Ndo maana ata pale Jangwani Gama alikuwepo siku ya ufunguzi wa CHADEMA ila wakaogopa tuu kumwambia salimia watu bse vurugu zingezuka
   
 8. kaburunye

  kaburunye JF-Expert Member

  #8
  Sep 1, 2010
  Joined: May 12, 2010
  Messages: 675
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Ndaga fijo
   
 9. M

  Mkulima JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2007
  Messages: 698
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Njowepo,

  Katika ziara yote hii ya kampeni za uchaguzi, JK hasimamishi wakuu wa wilaya wala wakuu wa mikoa. Hiyo ndio ilikuwa hoja yangu.

  Anasimamisha wagombea/waliogombea ubunge na udiwani. Wakuu wa wilaya na mikoa wanakuwepo ila huwa hawasemi kitu. Inasemekana ukiwatumia wakuu wa wilaya na mikoa ni kama unawaingiza wafanyakazi wa serikali kwenye kampeni.
   
Loading...