Gari la Prof. Lipumba Bovu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Gari la Prof. Lipumba Bovu?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kaizer, Sep 1, 2010.

 1. Kaizer

  Kaizer JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2010
  Joined: Sep 16, 2008
  Messages: 24,661
  Likes Received: 1,497
  Trophy Points: 280
  Wakuu, nimekuwa nikifuatilia habari za mikutano na misafara ya mgombea urais kwa tiketi ya CUF, Mh Prof Lipumba,

  sasa ambacho nimekiona kwa siku mbili hizi mfululizo zilizopita (jana na juzi) ni kwamba anatumia Prado mayai, ambayo kwa mawazo yangu sidhani kama ni the best car kwa barabara zetu hasa za kusini, mara mbili hizi TBC wanaonyesha kwanza kakipande ambapo boneti limefunguliwa, kwamba eti ni kash kash za njiani

  Ushauri wangu ni kwamba ataufte gari nyingine ngumu zaidi, sidhani kama CUF pamoja na ruzuku yote wameshindwa kununua walau gari moja imara la mgombea urais

  Of course wengine wanaweza kusema mbona ya JK yaliharibiki, kwamba ni kawaida ya magari nk, lakini nadhani kwenye kampeni kama hivi anahitaji kila sekunde kuongea na wananchi!
   
Loading...