Kikwete akatisha kampeni na kurejea Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikwete akatisha kampeni na kurejea Dar

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MAMA POROJO, Aug 31, 2010.

 1. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #1
  Aug 31, 2010
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Baada ya msajili wa vyama vya siasa kupokea malalamiko ya ya CHADEMA mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete, amekatisha kampeni zake mkoani Mbeya na kurejea Dar.

  Kabla alipangiwa kuendelea na kampeni mkoa wa Iringa.
   
 2. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #2
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Sasa naanza kuelewa uzito wa pingamizi.

  Pia nazidi kuelewa siku tano za Tendwa zina maana gani!! lol!
   
 3. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #3
  Aug 31, 2010
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,203
  Likes Received: 371
  Trophy Points: 180
  Akiwa Mbeya alidai kwamba kuna watu wanataka kuwe na kampeni zisizoelezea ahadi wala mafanikio waliyopata (hapa alimaanisha Dkt Slaa), kwa hiyo Kampeni za mwaka huu zitakuwa ngumu kweli kweli!
   
 4. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #4
  Aug 31, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,366
  Likes Received: 7,002
  Trophy Points: 280
  sheria kaisaini mwenyewe kwa mbwembwe
   
 5. Sn2139

  Sn2139 JF-Expert Member

  #5
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 827
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35

  Je chanzo cha habari hii ni hakika kiasi gani? Kama ni kweli amekatisha campaign na kurudi DSM, je anakuja kufanya nini? Je anakuja ku-sign hati ya kujisamehe makosa yake asije kushitakiwa pindi rais mpya akiapishwa na kuingia ikulu? Kwanini amerudi nyumbani wakati huu ambapo mapambano ndio kwanza yanapamba moto?
   
 6. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #6
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Let us be objective jamani toka Juzi kinana alishatoa ratiba kuwa JK atarudi DSM
   
 7. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #7
  Aug 31, 2010
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,897
  Likes Received: 12,012
  Trophy Points: 280
  Kama habari hizi ni za kweli JK anaanza kuona umuhimu wake, toka aseme Mwanza kuwa ameongeza mshahara sijamsikia tena. Asichukulie mambo simple simple hii inaweza kupelekea uchaguzi kurudiwa au Msajili na NEC kuonekana hopeless mbele ya mataifa, lazima hata kama ni kupindisha kona isiwe very sharp.
   
 8. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #8
  Aug 31, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  hahaaaaa kwa pingamizi lile kurudi ilikuwa ni lazima....hana ubavu wa ku sort out mambo akiwa mbali....alidhani kuongoza nchi na kutunga sheria za hovyo hovyo ni lelemamaaaa.
   
 9. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #9
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Labda amekwenda kupumzika si mnajua mwenzetu alivyo kiafya?
   
 10. Pakawa

  Pakawa JF-Expert Member

  #10
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,726
  Likes Received: 3,144
  Trophy Points: 280
  Maji ukiyavulia nguo huna budi kuyakoga kwa raha zako. Alisign alifikiri anasign mikataba hewa. Mtoto akililia wembe mpe...lol!
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Sijui JK anawaza nini sometimes.... tumechoka na ahadi na mafanikio, huwa hazitekelezi huyu baba!!!!

  we want to know strategies resources wanted/allocated!!! Kampeni si ahadi wewe JK, kampeni ni facts kutokana na mipango yako

  Mchumi wetu mbona unatuangusha?
   
 12. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #12
  Aug 31, 2010
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  ..Inachekesha na kushangaza kuwa hata aibu ya kuhaidi haoni. Unawahaidi wananchi walewale jambo ambalo ulilihaidi miaka mi5 iliyopita na hukutekeleza, bado unapata ujasiri wa kurudi kuwaambia kitu kilekile! Sijui sisi tuna matatizo gani, hata wanaokwenda kumsikiliza nadhani wanatarajia ataomba radhi, wanaishia kusikia ahadi tena!!
   
 13. George Maige Nhigula Jr.

  George Maige Nhigula Jr. Verified User

  #13
  Aug 31, 2010
  Joined: Mar 14, 2008
  Messages: 470
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duh! hii inaonesha CCM wamepatwa na hofu kuu, sasa amerejea kujibu tuhuma kwani mjadali huu wa kukiuka sheria ya gharama za uchaguzi nimeona topic hii hapa chini kwenye facebook watu wakijadili lakini aliye post alikuwa anamtetea JK kama ifuatavyo:

  Opinions as to why Presidents Jakaya Kikwete shouldn't be accused of breaking the Election Expenses Act
  .by TANZANIA on Sunday, 29 August 2010 at 23:06.

  Opinions as to why Presidents Jakaya Kikwete shouldn't be accused of breaking the Election Expenses Act by announcing the status of the decision of the Government to increase the salaries of its workers. These are just someone's opinions; it shouldn't be taken as the ultimate.


  PART V PROHIBITED PRACTICESUnfair conducts
  Sheria yenyewe
  21.-(1) during the nomination process, election campaign or election, an act of prohibited practice shall be committed by-(a)every person who, before or during the campaigns period, directly or indirectly, by any other person on his behalf gives ,lends or agrees to give or to lend, or offers, promises, or promises to procure or to endeavor to procure, any money or valuable consideration to or for any voter or to or for any person on behalf of any voter or to or to refrain from voting, or corruptly does any such act, on account of such voter having voted or refrained from voting at any nomination process or election;The section of the law is overt:

  ARGUMENT YA MTOA MADA
  • Every person, voter-The government is neither a person nor a voter.• During nomination, election campaigns-In any way The Government doesn't seek for nomination, that act is exercised by party members in their parties.• In order to induce any voter to vote or to refrain from voting- The Government has a constitutional responsibility to pay salaries to its employees/workers and increase/decrease them whenever possible/affordable (by so doing The Government doesn't seek to induce any voter to vote or refrain from voting because it is their rights, neither any worker has no right to claim for salary increment in order to vote or refrain from voting; (as according to the Trade Union law).• Or corruptly does any such act- By paying/giving/increasing salaries to its workers/employees, The Government exercises its constitutional responsibility hence it can never be considered as a corrupt act.• Any money or valuable consideration- HE. Jakaya Kikwete as a Presidential candidate has not been accused to being caught giving money to any person inducing him/her to vote for him or for his party, rather (and mostly as the Head of Government; it is very difficult to distinguish the two titles in campaign elections)has been explaining the matters raised by the people to his Government, normally the matters which affects their daily lives including the issues of low/inadequate salaries, building of hospitals, construction of roads, bridges etc, which he has been explaining and announcing the statuses of each. This is his obligation as the Head of Government.• By this law/this section of the act, basing on the actuality that the Government is not a person or voter, then The Government has not been prohibited to discuss/agree/disagree/sign/announce/explain any matters or even praise itself for its act of doing something beneficial to citizens/country (including increment of salaries to its workers), rather The Government is obliged to continue to practice its day to day constitutional responsibilities regardless it is doing so in election year/period or not.• Addition: The President as Head of Government has moral and constitutional obligation to explain to the citizens the acts of the Government including provision of answers to their questions/claims all the time during the period of his/her presidency. In any phrase of this section the law doesn't prohibit or set the time limit for the Head of Government to do so


  Na mimi nilijibu kwa hoja zifuatazo:

  the question here is did BUNGE approved any salary increment before being disolved? the answer is no, then where did the government get an authority to increase the salary without BUNGE approval? however President JK admitted the gov......ernment was unable to increase the salary in the near future and in his speech admitted he rather loose workers vote rather than increasing their salary, despite several presure from TUCTA he was reluctunt to increase the salary, but the President was under intense presure from CHADEMA when Dr. Slaa appealed to workers that he need their vote if JK does not need them, thus the government wanted to reconcile and correct their mistake by increasing the salary silently so as to cool workers and an attempt on pandering to their vote,

  but the procedure were not properly followed as i have explained earier because Bunge had been dissolved already and the past bunge budget did not approve or discuss any salary increament as presented by minister for finance Mustafa Mkulo, so what CHADEMA is objecting why should the government do it now? and The president use it in his campaign? while he refused to do the same thing before campaign?
  ...........................................................................
  It is obvious the government has not only violated and breached election expenses act of 2010 but also did not follow proper procedure because they were in hurry to get a talking point on workers welfare which the government failed to handle the matter professionally when they were supposed to do so.......................

  The act of the government under such circumstance shows their intensions to buy workers vote after so much pressure from TUCTA and wananchi. However CHADEMA is demanding to know whether the fund used to increase workers salary during campaign was JK personal fund or from public fund? and if from public fund, there is some procedures stipulated by our constitution to increase workers salary?................

  Moreover, if there is no clear dermacation in the constitution when the sitting president assumes his presidential role and when may act as mare CCM Candidate for presidency, dont you see that JK has a comparative advantage to use his presidential power for his own or his party benefit? and the election expenses act of 2010 will never apply to the sitting presidence?...................................................
  If the sitting president has a comparative advantage to use his role as the head of government in a political compaign do you think the whole election process will be democratic, free and fair
   
 14. The Invincible

  The Invincible JF-Expert Member

  #14
  Aug 31, 2010
  Joined: May 6, 2006
  Messages: 4,721
  Likes Received: 1,212
  Trophy Points: 280
  Bila hata ya kuielewa. Uchizi mwingine bana!
   
 15. Njilembera

  Njilembera JF-Expert Member

  #15
  Aug 31, 2010
  Joined: May 10, 2008
  Messages: 1,424
  Likes Received: 154
  Trophy Points: 160
  Mosi, kuna hili la kutoa ahadi au kuelezea mafanikio kama anavyofanya! Lakini mimi natatizwa na lingine. Baada ya kugundua zile ahadi za 2005 hazijatelekezwa na ni vigumu kutekelezwa, mheshimiwa sehemu fulani fulani humu nchini amefanya usanii. Aliahidi barabara ya lami, lakini bado hajafanya. Kinachofanyika sasa ni kupeleka wakandarasi na vifaa maeneo yale kuonyesha kwamba kuna shughuli inaendelea. Hili wananchi wanaona kumbe mzee kweli alimaanisha hivyo. Ukweli, ujenzi wa barabara ya lami, hasa kwetu huku ambako barabara zinazohitajika kuwa na hadhi ya lami, ni nyembamba, wananchi wamesogea karibu kabisa na barabara aidha kwa kujenga au kulima, kupanda miti ya muda mrefu. Sheria zetu zinatoa haki kwa watu hawa waliokaa ndani ya ardhi hii kwa muda mrefu (hesabu 12, Limitation Act) walipwe fidia. Taratibu zetu za fidia zimeharakishwa sana ni miezi 6, na ni baada ya hapo wenye kumalizia design ya barabara kwa kweli wanaweza wakafanya hii kazi muruwa na kuandaa hio site tayari kupewa mkandarasi.

  Tatizo ninaloliona hapa sio tu la kisiasa, ila huyu mkandarasi aliyeletwa site June 2010 anasubiri hizo taratibu, atalipwa na nani? Ni chama, serikali, bunge au ni nani jamani? Hebu fikiria ni kiasi gani! Nadhani hii ingaliweza kuwa thread pia, potelea mbali nisaidieni, nimechoka na uchumi wa kibunuasi, unajikata mwenyewe!
   
 16. Ilumine

  Ilumine Senior Member

  #16
  Aug 31, 2010
  Joined: Dec 27, 2008
  Messages: 196
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukichanganya na hili la akina Slaa, mama weeee maumivu makali!!
  Ningekuwa usalama wa taifa ningefuatilia nyendo za huyo Tendwa kwa hizi siku 5.:glasses-nerdy:
   
 17. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #17
  Aug 31, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakumbuka ni Dr. Slaa huyu huyu alisimama na kuhesabiwa akawambia kuwa pamoja na kuisaini kwa mbwebwe kubwa hakubaliani na walichokisaini maana walikuwa wameifisadi sheria hii kwa kuwa iliyosainiwa haikuwa ile iliyopitishwa Bungeni!!
  Mwaka huu ccm hawana pa kujificha!!!
   
 18. Nyambala

  Nyambala JF-Expert Member

  #18
  Aug 31, 2010
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 4,470
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  CHADEMA toeni video clip ya hii ishu kuonyesha muungwana jinsi alivyokuwa anasaini ile sheria na alipokuwa anaikiuka!
   
 19. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #19
  Sep 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,607
  Likes Received: 6,183
  Trophy Points: 280
  Kama kuna impropriety zimefanyika, improprieties hizi haziwezi ku stick katika ubadhirifu wa madaraka au matumizi ya madaraka kwa rushwa kwa mujibu wa sheria mpya ya gharama za uchaguzi.

  Tatizo nchi yenyewe changa na vitu havijawa defined katika njia iliyo watertight kutoruhusu loopholes. Na kwa sababu kuna loopholes na vitu vilivyo ill defined kibao, CCM watashinda tu.

  Kwa mfano, sote tunajua rais wa Tanzania akiwa anatekeleza kazi zake za urais hawezi kushitakika mpaka kuwe na impeachment, na rais huyu huyu wa Tanzania ndiye Mwenyekiti wa CCM na mgombea wa urais wa CCM anayetuhumiwa, swali linakuja, Kikwete ametoa nyongeza za mishahara kama mgombea wa CCM au kama rais wa Tanzania? Sheria mpya ya gharama za uchaguzi inaongelea vipi mipaka ya utendaji wa rais kuhusiana na mchakato wa uchaguzi hususan katika kuhakikisha hakuna rushwa inayoachwa kuwezekana ?

  Kikwete anaweza kusema aliahidi nyongeza za mishahara kama rais, a sitting president, and it is unfair kumletea Kikwete mgombea charges zinazomhusu Kikwete rais. Kumletea charges hizi Kikwete katika capacity yake iliyohusika (rais) itabidi kwanza process ya impeachment ifanyike, process ya impeachment haiwezi kufanyika bungeni kwa sababu bunge lishavunjwa, labda lipelekwe mahakamani kama katiba yetu inaruhusu, rais awe impeached, aonekane ana cha kujibu.

  Rais anapo execute kazi zake za kirais ana immunity ambayo inataka impeachment kwanza kabla ya kumshtaki. Kikwete alitoa ahadi katika capacity yake ya kiraisi akitekeleza kazi za serikali, kuunganisha kazi za serikali na ugombea urais wa chama itakuwa kitu kigumu sana hapo.

  Hata kama swala la impeachment litaletwa mbele ya majaji, majaji wanaweza ku reason kwamba kumu impeach rais kutaleta precedent mbaya ambapo kuanzia sasa rais atakuwa ana wakati mgumu kufanya chochote kwa uhuru kwa kuhofia ku violate sheria za uchaguzi. Rais anaweza hata kuogopa kupeleka/ kuzindua miradi ya maji vijijini kwa kuhofia ku violate sheria ya gharama za uchaguzi.

  It's not like Kikwete kakamatwa kwenye kikao cha siri cha kampeni yake akiwapa mlungula kina Mgaya na viongozi wengine wa vyama vya wafanyakazi.
   
 20. K

  Kanyafu Nkanwa JF-Expert Member

  #20
  Sep 1, 2010
  Joined: Jul 8, 2010
  Messages: 812
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Nadhani ungetwanga kwa kiswahili ili adhira kubwa ya Chadema humu JF ielewe.
   
Loading...