Elections 2010 MbayuWayu T-Shirt & Caps

Ilete sokoni mkuu. Hapa kwenye picha sijajua kama ina maandishi ya kujulisha kuwa huyo ni mbayuwayu. Bila kuweka jina la mbayuwayu kwa maandishi ni vigumu kwa wabongo kufasiri. Vichwa vingu vinazungukia mbali mno kupata maana ya tukio fulani.
 
Kumbe JK mbunifu keshachangia zile ajira zake milioni moja...hongera mjasiriamali uliyefanyia kazi wazo la rais wako
 
Mi nimeipenda hiyo ya grey..fanya fanya fasta..kabla sijarudi kazini aisee!!!
 
Hebu tazama tena hizo Sample za T-Shirt nimezifanyia marekebisho muda si mrefu

View attachment 12735View attachment 12736View attachment 12737
Wa Ndima,
Nashukuru kwa kukubali ushauri wa kuweka maneno ya sitaki kura ya wanfanyakazi,

Umedesign vizuri sana, Ingiza sokoni kabla kampeni hazijaisha, maana inalipa. Nimeamini wewe ni mjasiriamali wa kweli.

Mimi ni mjasiriamali, hivyo naelewa namna ya kutumia kero, matatizo kama fursa ya mafanikio.

Fursa huenda na muda yaani time. Usipoteze muda ingiza sokoni.

Tuwasiliane kwa ushauri zaidi maana hii inalipa sana.
 
Poa nitakuPM tuone itakuwaje au sio?
 
Watakaokuwa tayari kununu tena kwa bei chee kabisa wanisapoti kwa msg hapa nijue ni kiasi gani...
 
Natafuta baadhi ya wadau tushirikiane kuziandaa hizi T-Shirt najua itabidi iwe oda kubwa sana nami sina Capital.
 
Back
Top Bottom