Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari nilizoona kwenye Taarifa ya habari ni kwamba eti kuna mwandishi wa habari ambaye amepigwa na Wafuasi wa CCM kule Kwimba wakati wa kampeni zao. Nani labda ana habari zaidi?
0 Reactions
27 Replies
4K Views
ajira ya mtendaji mkuu wa Tanroads yafikia kikomo na anatakiwa kukabidhi ofisi kwa mapema iwezekanavyo.
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mara kwa mara tunapoongelea kujiimarisha kwa vyama vya upinzani tunakuwa tunaongelea ni namna gani vyama hivyo vimesambaza matawi na mashina yake kwa wananchi, mijini na vijijini. Jambo moja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
:eyebrows: Prof. Lipumba anatueleza kwamba Jk hawezi taabu pale anaposema: “Mheshimiwa Kikwete namjua, nimesoma naye, tangu zamani ni mtu asiyeweza tabu [taabu], asiyependa tabu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nashindwa kuelewa ni kwa nini TBC1 wakiwa wanatangaza habari za kampeni za wagomea , wakiwa wanatangaza kampeni za CCM matangazo yanakuwa clear na yanasikika vizuri, lakini ikishafika zamu ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hivi mama salma kikwete , mke wa Rais Jakaya Kikwete ,Rihwan Kikwete Mtoto wa Rais Jakaya Kikwete ni sehemu ya uongozi wa taifa letu? kama jibu ni ndiyo ni ibara gani ya katiba ya jamhuri ya...
0 Reactions
15 Replies
6K Views
KWA HESABU za haraka haraka tuseme kila mchezo wa bahati nasibu iwe Jivulie au Mkopo au Mwanakuliwa au Mjingahajui na kadhalika inayoendesha na makampuni ya simu za mkononi kwenye televisheni...
0 Reactions
29 Replies
7K Views
My take: huyu jamaa atakua anajua siri fulani, wenyewe waka-Mkolimba. By Edwin Agola 14th September 2010 A bodyguard of the Chief Justice Augustino Ramadhani, Mzee Mnyeti (32) was...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kuna baadhi ya wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wamesambazwa katika baadhi ya vyuo wanaitwa mama salma eti waadhilika wanalipiwa ada na salma kikwete nimeuliza nikaambiwa ni kweli sasa naomba...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Wadau naona Hali ya maisha inazidi kuwa ngumu sana.... Nauli zimepanda vibaya mno by the so called kupanda kwa mafuta, Hapo hawajasema vipuri....na takataka zake zingine. Kikubwa ni kuwa Kupanda...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Kwa waliokuwa wanatizama taarifa ya habari ya saa mbili usiku leo TBC1 bila shaka mmeyaona. Ndugu yangu Richard Ndassa alikikoroga, na mie sijapata kitu kabisa. Kanuni na sheria zasemaje...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Baadhi ya watumishi wa Serikali wamekuwa wakilalamika kwamba wamepoteza muda mwingi kufanya mazoezi ya kujitayarisha na mashindano ya kila mwaka ya Wizara na Idara za Serikali - SHIMIWI lakini...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kinacho endelea kwasasa kwenye TBC ni wazi ya kuwa CCM wanatuonyesha wazi kuwa wananchi hawatakiwi kuufahamu ukweli wa maovu wa yatendayo, kwa kitendo cha TBC kutoonyesha kampeni za CHADEMA...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wadau...Mlimuona huyu dada jinsi Alivyozomewa baada ya kuanza kumkampenia JK..siku ya Shindano la Miss Tanzania...! I think angekuwa na Akili angeweza kuibuka hata na Taji lile ila...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimepata umaarufu mkubwa na kuandikwa zaidi na vyombo vya habari hapa nchini...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Ataka majibu ya Kagoda, Tangold Asisitiza hatanyamaza hadi kieleweke Mgombea urais kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
We know, with much certainty, what Tanzania would look like under a second Kikwete term. It wouldn’t be just a continuation of what we have now. For what we have now is the best that JK could...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
katika zile harakati za kuhakikisha kigoda anashinda, msimamizi wa uchaguzi jimbo la muheza amebania barua ya kutupiliwa mbali pingamizi alilowekewa bw.saidi salehe mweto na mgombea wa ccm...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau, sasa hivi kuna kipindi kinaendelea cha mdahalo wa wagombea tarime huko Mgombea wa Chadema anaonekana kushangiliwa sana na wahudhuriaji (Mwita Mwikabe) Aliyemtangulia (Mwera) amemung'unya...
0 Reactions
53 Replies
5K Views
Binamu zangu wawili wanaofanya kazi serikalini hawajaona ongezeko lolote la mishahara na haionekani kama malipo ya mwezi wa tisa yatakuwa na nyongenza hiyo. Kuna yeyote ambaye anataarifa tofauti?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…