Abiud Mageresi:Makundi bado yapo CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Abiud Mageresi:Makundi bado yapo CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtu wa Pwani, Mar 28, 2008.

 1. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #1
  Mar 28, 2008
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Makundi bado yapo CCM
  2008-03-28 10:43:43
  Na Sabato Kasika


  Mwenyekiti wa zamani wa Jumuiya ya Wazazi CCM ambaye alisimamishwa kuiongoza jumuiya hiyo, Bw. Abiud Maregesi, ameibuka na kusema kuwa, chama hicho kina makundi ambayo kama hayatapigiwa kelele, yataleta madhara makubwa ndani ya chama.

  Bw. Maregesi alisimamishwa uongozi Juni, mwaka jana kwa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha na madaraka.

  Tangu Bw. Maregesi aondolewe kwenye wadhifa huo, amekuwa kimya kwa muda wote hadi alipoibuka juzi jijini Dar es Salaam na kuamua kutoa dukuduku lake kupitia gazeti hili.

  Kwa mujibu wa Bw. Maregesi ambaye ni kada wa siku nyingi wa chama hicho, tangu avuliwe wadhifa huo, hajawahi kuitwa na kikao chochote cha CCM na kuhojiwa kuhusiana na tuhuma zilizoelekezwa kwake, hali aliyosema inamfanya ashindwe kuelewa ukweli wa suala hilo.

  Akifafanua kuhusu madai ya kuwepo kwa makundi ndani ya CCM, alisema licha ya kwamba viongozi wa chama hicho wanakataa

  SOURCE: Nipashe
   
 2. M

  Mwafrika wa Kike JF-Expert Member

  #2
  Mar 28, 2008
  Joined: Jul 5, 2007
  Messages: 5,194
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Poor Maregesi,

  Makundi ameyaanza kuyaona leo baada ya kunyang'anywa ulaji?
   
Loading...