Persistent corruption in low-income countries


Masanilo

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2007
Messages
22,301
Likes
219
Points
160

Masanilo

JF-Expert Member
Joined Oct 2, 2007
22,301 219 160
Kulingana na mtandao wa Transparency International Tanzania ina rushwa kidogo kwenye ukanda wa Africa Mashariki, Tanzania ni ya 94 duniani, Uganda 111 na ndugu zetu wako nafasi ya 150, the least corrupt country in New Zealand, Denmark na Sweden....most corrupt ni Somalia ikishika nafasi ya 179. Nigeria are better than Kenyans wako nafasi ya 147 kulingana na tovuti hiyo

Taarifa kamili nimeambatanisha hapo..

Ushi wa Rombo
 

Forum statistics

Threads 1,204,890
Members 457,581
Posts 28,174,641