KadaMpinzani
Reaction score
33

Profile posts Latest activity Postings About

  • NI ukweli usiopingika bila kujali maslahi ya muda mfupi ambao watu hupewa ili kuendelea kupiga kampeni, mara baada ya kampeni tunaanza kulaumu Utawala ambao wenyewe ndo mumeuweka maradakani, Slaa bado ni kinara, tatizo letu Watanzania, bado tumetawaliwa na fikra potofu kwamba kambi pinzani haiwezi, nani kasema, tumewapa nafasi wakashindwa?(Yaani we have been colonized mentally by our own leaders) na bado tupo katika giza ambalo tunaendelea kulitengeneza wenyewe halafu baadaye kuwalaumu viongozi.Nani kawaweka madarakani kama si wananchi wenyewe walalamikaji?Tupime sera za wagombea na namna mtu anavyojenga hoja bila hofu.Dr Slaa ni rais labda kura zichakachuliwe kama Tafiti ya kura za maoni zilivyokuwa zimechakachuliwa.
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top