Mambo Kumi Muhimu Kuhusu Dk Willibrod
Peter Slaa
2
Dk Willibrod Peter SLAA
1. Anachokisimamia
 Dk Slaa anasimamia maadili, uadilifu, uamakini na uwajibikaji katika
uongozi wa nchi na...
Wadau Kwanza habarini!
Poleni sana na harakati za kumsapoti Raisi wa watanzania kuingia Ikulu, Raisi Mwenye PHD ya ukweli ( siyo fekifeki za kuchakachuliwa).
MADA:
Kwa mtizamo wangu...
Leo hii ningependa kufunguka namna hii na kuwataka watanzania waelewe sababu kubwa ya kumchagua kikwete ni mengi ameyafanya kwenye taifa letu tukufu la Tanzania licha ya kuwa alikuwa nguvu ya...
HATUJAFANYA UTAFITI: SYNOVET
Kwa wale wenzangu ambao mnafuatilia vyombo vya habari, haijapita wiki mbili tangu kampuni ya Synovet ilipotamka wazi kuwa hawajafanya utafiti kuhusu wagombea wa Urais...
Mwenye Macho Haambiwi Tazama
Makala hii inakusudia kutazama japo kwa ufupi tu jinsi miaka arobaini na Tisa (49) ya kujitawala kwetu ilivyokwamisha au kurudisha nyumba maendeeo ya taifa letu...
Mwaka 1994 mauaji ya kimbari yametoka Rwanda na maelfu ya Wakimbiza walikuwa wamevuka kuja magharibi mwa nchi yetu. Uchaguzi Mkuu wa kwanza wa Rais na Wabunge ndani ya mfumo wa vyama vingi...
In effort to support CCM and JK outside Tanzania and Zanzibar, I'm glad to announce that I'll be traveling to Kingson, Jamaica this weekend to join my fellow CCM faithfuls in celebrating the grand...
From NASONGELYA KILYINGA, Songea, 1
1th October 2010
Source: Daily news
THE Union Presidential aspirant on CCM ticket, Mr Jakaya Kikwete, has slammed opposition presidential candidates for...
Nikiwa kati ya WATU waliohudhuria mikutano ya kampeni hasa ya urais,nimeona mengi,nimesikia mengi,ahadi kemkem,tam,nzuri na zenye kuvutia na kama JK,SLAA au LIPUMBA mmoja wo akishinda na...
Hivi huyu jamaa ni mpiganaji wa kweli?
Anatumika sana kwenye matangazo ya kukemea utawala mmbovu.
Matangazo ya kuhimiza watu wakapige kura
matangazo ya kupambana na ukimwi. n.k n.k.....
La...
Mama salma kikwete amewaomba akina mama mkoani shinyanga kuwasihi vijana wao kukipenda ccm kwa kuwa hawajui na hawaoni mambo mazuri yaliyofanywa na ccm.Hii inatokana na ukweli kwamba kwa sasa...
Nimepata taarifa muda si mrefu kuwa baada ya Dr.SLAA kumaliza kampeni kigoma kijana machachari mbunge mtarajiwa Zitto Kabwe leo anaingia jimbo la Bukombe kuongeza nguvu kwa mbunge mtarajiwa Prof...
Nadhani Shimbo na wenzake wangewakamata mara moja akina Kikwete na makada wengine kwani wameshaweka hadharani kuwa Watamwaga damu kama wananchi watachagua Chama Pinzani, Chadema.
Wanaposema...
Jana katika pitapita mitaa ya mbezi beach nimeona OASISI CLUB inafanyiwa marekebisho makubwa. katika kuuliza kulikoni nikaambiwa imenunuliwa na Peter Noni (mkurugenzi TIB) na Mchechu wa (NHC). na...
Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe la leo, Mkurugenzi wa NEC, Rajabu Kiravu,amenukuliwa akisema "wasimamizi wa uchaguzi watajumlisha matokeo ya uchaguzi wa wabunge na kuwatangaza washindi na kura...
Monday, 11 October 2010
The Imam-Bukhary Islamic Foundation chairman, Sheikh Khalifa Khamis (right), reads out a resolution of imams and sheikhs during a press conference in Dar es Salaam...
ANAYETAKA KUMWAGA DAMU AKAMATWE MARA MOJA
Hii ni kauli iliyotolewa juma moja lililopita baadaa ya Mnajimu wa JWTZ kujitokeza na kusema kuwa kuna wanasiasa wanataaka damu imwagike ili mradi waingie...