CCM, Atakayemwaga damu ni Mshindi au aliyeshindwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM, Atakayemwaga damu ni Mshindi au aliyeshindwa?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by mozze, Oct 12, 2010.

 1. m

  mozze Senior Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 27, 2010
  Messages: 185
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani Shimbo na wenzake wangewakamata mara moja akina Kikwete na makada wengine kwani wameshaweka hadharani kuwa Watamwaga damu kama wananchi watachagua Chama Pinzani, Chadema.

  Wanaposema msichague wapinzani kwa sababu watamwaga damu, CCM wanas maana kuwa wataingia msituni ili kurudi madarakani.

  NI ukichaa kusema at mtu anayeshinda uchaguzi ndio atamwaga damu. Mi nakwambia hii kauli itawapeleka ICC akina Kikwete mana wamesema bila kuficha! Tuwaepukeni hawa!
   
Loading...