Elections 2010 NEC Vipi kuhusu Kura za raisi kwenye vituo vya kupigia kura?

Jibaba Bonge

JF-Expert Member
May 6, 2008
1,246
401
Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe la leo, Mkurugenzi wa NEC, Rajabu Kiravu,amenukuliwa akisema "wasimamizi wa uchaguzi watajumlisha matokeo ya uchaguzi wa wabunge na kuwatangaza washindi na kura za madiwani zitajumlishwa na wasimamizi wasaidizi wa ngazi za kata na kuwatangaza washindi".

Kwa nini hajazungumzia kura za uraisi? Hizo haziwezi kutangazwa vituoni na majimboni?
 
Hilo ni swali la msingi ingawaje jana tulijulishwa na gazeti jingine lililonukuliwa na mwana JF mmoja ya kuwa za raisi kutangazwa majimboni.

Sasa huu ni utata mpya.
 
Kwa mujibu wa gazeti la Nipashe la leo, Mkurugenzi wa NEC, Rajabu Kiravu,amenukuliwa akisema "wasimamizi wa uchaguzi watajumlisha matokeo ya uchaguzi wa wabunge na kuwatangaza washindi na kura za madiwani zitajumlishwa na wasimamizi wasaidizi wa ngazi za kata na kuwatangaza washindi".

Kwa nini hajazungumzia kura za uraisi? Hizo haziwezi kutangazwa vituoni na majimboni?

kwa sasa umechelewa,hata ukijua haitasaidia kuleta mabadiliko yoyote kwa sasa.jitahidi baada ya uchaguzi ufuatilie maana watu watakufunulia hadi katiba humu ndani
 
Wale waliohudhiria kikao cha jana tunaamini watakuwa walipata ufafanuzi , ni vema wakatuelimisha , mnyika na wengine tafadhalini
 
Back
Top Bottom