Kwanini watanzania tunamchagua kikwete? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini watanzania tunamchagua kikwete?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by saider, Oct 12, 2010.

 1. s

  saider New Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo hii ningependa kufunguka namna hii na kuwataka watanzania waelewe sababu kubwa ya kumchagua kikwete ni mengi ameyafanya kwenye taifa letu tukufu la Tanzania licha ya kuwa alikuwa nguvu ya kukubalika na kupendwa na kundi kubwa la watu pia ufanisi wake dhahiri ndio unaomfanya mpaka leo watanzania waendelee kuwa na imani naye na pia sera zake safi dhahiri zisizojaa matusi kama wengine wanajaribu kugeuza siasa kuwa uwanja wa matusi na kashfa badala ya kuzisimamia ilani zao kama desturi ilivyo sasa wanajadili kuhusu ccm ikiwa wao wengine kama dkt.slaa ana kashfa nzito ambazo mpaka kuizungumzia kwa mgombea kama yeye ni aibu tena kubwa huwezi kuwaongoza watu ikiwa wewe mwenyewe unashindwa kujiongoza na mnaijua sababu iliyosababisha slaa afukuzwe kanisani?uongozi na uasherati kamwe haviendani jamani oktoba 31 tusifanye makosa kura zoote kwa kikwete tumeyaona aliyotenda
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Breaking News ????????? the swari???????????????????????????????????????????????????????????
   
 3. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Umerudi kuchafua hali ya hewa?
   
 4. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 11,364
  Likes Received: 3,129
  Trophy Points: 280
  HIVI WANAOSHABIKIA NA KUIPENDA CCM NA KIKWETE NI WATANZANIA?
  kikwete anayesafiri na tuchangudoa nje ya nchi...............wewe unmataka tuchague rais mgonjwa?..mkumbatia mafisadi?....unataka tuchague kikwete mdini anayependelea uislamu hadi kuweka mahakama ya kadhi kwenye ilani yake?........nyambafu
   
 5. kibhopile

  kibhopile JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 1,304
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  hebu malizia na ushuzi basi tukuelewa coz this sound like shhhhhhiiiiiiiit to me n to ur wife...badilika wewe
   
 6. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  hahahah, mkuu umenichekesha kweli, thanx.
   
 7. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Saider
  umeshapiga kura ya maoni hapo juu? Naona bado tu hamjatosheka na kura feki za redet na synovate.
   
 8. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #8
  Oct 12, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  huyu atakuwa ni RIZ 1 tu! sababu ccm ni ya kifamilia bwana!
   
 9. Mtende

  Mtende JF-Expert Member

  #9
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 4,072
  Likes Received: 338
  Trophy Points: 180
  Watanzania hawampendi kikwete bali wafuatao ndo wanampenda
  1. Riz
  2.salma
  3.makamb
  4.kinan
  5.jw
  6.shk yahaya
  7.miraj
  8.mafisadi
  9.ongezea pls......

  Kura yangu naielekeza kwenye mikono sahihi ya mkombozi na mtetezi mpya wa tanzania dr slaa
   
 10. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #10
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
 11. S

  SUWI JF-Expert Member

  #11
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 27, 2010
  Messages: 548
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Mh huyu ni kikwete mwenyewe kaamua kujifagilia. Kura yangu sikupi n'go nani alikuambia ukabembee jamaika huku mfumuko wa bei ukiwamaliza WTZ? Hata uniambie nini kura hupati nishakuwa mtu mzima nakataa uongo wako:A S 13:
   
Loading...