Vincent Nyerere apita bila kupingwa

Msharika

JF-Expert Member
May 15, 2009
947
69
Huu ni mwanzo mzuri katika kurudisha jimbo la musoma kwa wapinzani. CHADEMA mbele nyumba mwiko.

Source: Vincent Nyerere apita bila kupingwa
 
mtumishi wa mungu tengeneza vizuri thread yako igongeke... tuchangie kwa uhakika; lest it be a personal fabrication.
 
Jimbo hili si ni lile ambalo wananchi wake jana walionyeshwa na ITV wamerudisha kadi za Chama cha Jembe na Nyundo wakipiga kelele kuwa dhuluma na rushwa vimezidi huku wakitangaza kwa kujiamini kuwa watampigia kura wagombea wa upinzani? Wanaosema vijijini hakuna mwamko wa kuichukia CCM wakafanye tena homeworks zao!


Wananchi tumepigwa sana nyundo! Madadiliko muhimu sasa.
 
Jamani tukiondoe chama cha mafisadi, nchi inaendeshwa kutoka Tehran! No non...angalau sitashiriki kuuza nchi yangu. kuchagua CCM ni kuuza nchi kwa mfisadi mchana kweupee!!!!!!!
 
Nafikiri hata wananchi wa vijijini wamechoka na uongo ule ule wa miaka yote... they also need change
 
Huyu mtu anaendeleaje? nasikia hali si nzuri sana huko kwao, huyu m-CCM ni mmafia na inabidi kumlinda sana huyu!
 
hahaha naifananisha ccm na JK kama kocha wa timu iliyopigwa 3 -0 na dakika ni ya 87 ...hahaaaaa
 
Wakuu hii habari ni tarehe 9 august 2010 nadhani inazungumzia uchaguzi ndani ya CHADEMA tuwe makini kidogo .
 
Back
Top Bottom