CCM si ya vijana!

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,507
11,883
Mama salma kikwete amewaomba akina mama mkoani shinyanga kuwasihi vijana wao kukipenda ccm kwa kuwa hawajui na hawaoni mambo mazuri yaliyofanywa na ccm.Hii inatokana na ukweli kwamba kwa sasa vijana wote wanaunga mkono vyama vya upinzani!source gazeti la leo
 
"I must study politics and war that my sons may have liberty to study mathematics and philosophy."
 
Mama salma kikwete amewaomba akina mama mkoani shinyanga kuwasihi vijana wao kukipenda ccm kwa kuwa hawajui na hawaoni mambo mazuri yaliyofanywa na ccm.Hii inatokana na ukweli kwamba kwa sasa vijana wote wanaunga mkono vyama vya upinzani!source gazeti la leo

Bi Salma anasahau vijana wa CCM wapo tena viongozi sema wana miaka 40+ kwi kwi kwiii
 
Kama mama kikwete kagundua hilo na kasoma alama za nyakati iweje viongozi wengine wasione hilo kwanini wanazuia mabadiliko kutokea tena kwa kura tuu hao JWTZ wanajifanya hii hali hawaioni,

kweli huko mitaani vijana wengi wana support upinzani na hao vijana hawajui mazuri ambayo CCM waliyafanya kuwa fany hao vijana kuichagua CCM.

Sasa hao synovate na redet wametoa wapi hiyo statistic kuwa JK anaongoza huku wakijua fika kuwa vijana wengi ndio wapiga kula ndani ya nchi hii????
 
Mama salma kikwete amewaomba akina mama mkoani shinyanga kuwasihi vijana wao kukipenda ccm kwa kuwa hawajui na hawaoni mambo mazuri yaliyofanywa na ccm.Hii inatokana na ukweli kwamba kwa sasa vijana wote wanaunga mkono vyama vya upinzani!source gazeti la leo

DUH! Kama vile angeanzia Musoma kwanza then wangekubali vijana wa huko angeendelea na hao wa shinyanga! but Kiufupi SISIEMU hawana chao hapa.

"VOTE FOR CHADEMA CHOOSE RIGHT PERSON"
YES WE CAN!!!!
 
vijana taifa la kesho,ccm said!leo ndio mnashituka kama vijana ni taifa la leo?
 
Mama salma kikwete amewaomba akina mama mkoani shinyanga kuwasihi vijana wao kukipenda ccm kwa kuwa hawajui na hawaoni mambo mazuri yaliyofanywa na ccm.Hii inatokana na ukweli kwamba kwa sasa vijana wote wanaunga mkono vyama vya upinzani!source gazeti la leo

Hakujua hilooo? Achungeze zaidi atabaini mjomba.
 
Back
Top Bottom