Joseph mbilinyi ( mr ii ) awakuna wananchi wa jimbo la mbeya katika mdahalo. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Joseph mbilinyi ( mr ii ) awakuna wananchi wa jimbo la mbeya katika mdahalo.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Mchaka Mchaka, Oct 12, 2010.

 1. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #1
  Oct 12, 2010
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,531
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 0
 2. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 84,458
  Likes Received: 56,897
  Trophy Points: 280
  Kwa nini wewe mwenyewe usiifungue hiyo tovuti na kutupunguzia adha za kila mmoja wetu kuifungua?
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Oct 12, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 32,250
  Likes Received: 15,065
  Trophy Points: 280
  Nilikuwa huko nilibahatika kuhudhuria moja ya mikutano yake ya kampeni.
  Mpesya muda wake wa kurudi kufundisha hakika umefika, kijana anatisha sana.
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Oct 12, 2010
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,070
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  hahaa mbona sijaona mgombea wa chichiemu..aaah kumbe wamekatazwa na makamba
   
 5. Jile79

  Jile79 JF-Expert Member

  #5
  Oct 12, 2010
  Joined: May 28, 2009
  Messages: 10,655
  Likes Received: 1,946
  Trophy Points: 280
  watavuna mabua.................chama kizee kinakataa midaharo kinakataa changamoto makini
   
 6. u

  urasa JF-Expert Member

  #6
  Oct 12, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 435
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  go sugu!!!!!!!!!
   
 7. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #7
  Oct 12, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,140
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Sugu anafanya vizuri sana maeneo ya mjini lakini ukabila na ujadi uliojizatiti maeneo ya pembezoni mwa mji unaweza ukamwangusha na kumpa ushindi Mpesya.
   
Loading...