Oasisi club imeuzwa kinyemela

OgwaluMapesa

JF-Expert Member
May 24, 2008
10,943
428
Jana katika pitapita mitaa ya mbezi beach nimeona OASISI CLUB inafanyiwa marekebisho makubwa. katika kuuliza kulikoni nikaambiwa imenunuliwa na Peter Noni (mkurugenzi TIB) na Mchechu wa (NHC). na katika kumbukumbu zangu nakumbuka hii ilikuwa mali ya serikali na sikumbuki kama ilitanganzwa kwa Umma wa tanzania kuonesha kama inauzwa ili kila MTZ mwenye uwezo ajaribu bahati yake kama sheria ya manunuzi inavyotaka
 
Peter Noni - Huna haja ya kusema saaaaaaaaaaana hapo : he has always been part of looters!

Msechu - He has just come in from the cold!
 
.....Peter Noni wa EPA na Mchechu wa Chenge??? wale waleeeee!!! the fact is......watu wa CCM wamejiminisha kwamba watanzania ni watu wa kupiga kelele mcha na usiku tunalala yaani tumeshazoea kuibiwa so hao wezi hawaogopi kufanya blunder au scandal yoyote!!! nipo tayari kwa........, who wants to join me?
 
Mhh aliyenunua club oasis siyo Dr.Hawa Eve Sinare? fanya tafiti kwanza kabla ya kuleta tetesi mkuu!
 
.....Peter Noni wa EPA na Mchechu wa Chenge??? wale waleeeee!!! the fact is......watu wa CCM wamejiminisha kwamba watanzania ni watu wa kupiga kelele mcha na usiku tunalala yaani tumeshazoea kuibiwa so hao wezi hawaogopi kufanya blunder au scandal yoyote!!! nipo tayari kwa........, who wants to join me?
kilakitu watu wa CCM ebu acheni hizo humu jamii forum nikama chama flani ndio mmejaa maaan sioni jamii inawakilishwaje.mbona CCM WAPO WATU WAZURI TU.....
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom