Yu wapi capt. Komba wa TOT jamani?

Yu wapi capt. Komba wa TOT jamani?

Mfamaji

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2007
Posts
6,629
Reaction score
1,951
Yule mwimbaji wa CCM sijamsikia kipindi hiki .Kulikoni? Yu wapi?
 
anaimbia mbinga hakuna coverage huko!
 
CCM CCM AHAAAAAA AHAAAAAAAAAAA CHAMA CHA MAPINDUZI CCM NAMBA ONE *3
Naona amesoma alama za nyakati akaona anyuti
 
hahaaaaa mwaka mgumu huu timu beki hazikabi nafasi yake wamechukua akina chege chigunda mtoto wa mama saidi kutoka TMK kiumeni
 
wakati huo tujikumbushe mazuri ya mheshimiwa komba:

Anna_Lupembe.jpg
 
Yule mwimbaji wa CCM sijamsikia kipindi hiki .Kulikoni? Yu wapi?

Yuko mbinga anapiga kampeni za kitambim kwa kitambi

Jamani njia ya kwenda Mbinga ni mbaya ajabu. Sijui watu wa CCM wanatumia vigezo gani kumchagua mtu kuwa mbunge?
 
CCM bana .Kumbe kaacha kuimba anomba kura kwao?
 
CCM bana .Kumbe kaacha kuimba anomba kura kwao?

Mfamaji,
Unanifurahisha sana hiyo avator yako! Yaani hesabu inachanganya hadi balaa.....ndivyo ilivyo kwa JK: He is just confused and doesn't know whther 2X2 = 4 or =-4!
Du!
 
Kombaaaa ukowapi, toka uliko jitokeze hadharani, maana nasikia ni msomaji mahiri wa vijidarida vya udaku.
 
Slaa amesha kula kichwa.
Pia andai yule mgombea aliyeanguka jukwaani cku ya ufunguzi alitia doa chama, akajaa mitini jumla.
 
Jamani mmesahau kwamba njia ya kwenda Ikulu safari hii inaongozwa na familia?
 
Jamaa si mwanafamilia wa Kikwete.....kampeni mwaka huu zinasimamiwa na Kuratibiwa na Familia further more miraji hapendi kwaya na Taarabu anapenda Bongo flavor....So Komba Out..........Aint sure kama atarudi mjengoni.......
 
Back
Top Bottom