sms chochezi za CCM, nani alikuwa waziri mwenye dhamana ya TCRA? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

sms chochezi za CCM, nani alikuwa waziri mwenye dhamana ya TCRA?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Kalunguine, Oct 15, 2010.

 1. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ukifuatilia suala la sms za ccm huwezi kumweka pembeni waziri aliyekuwa na dhamana ya TCRA. Nani waziri aliyehusika na TCRA kabla ya kampeni za uchaguzi? Kwa vyovyote vile analo la kuhusu ushiriki wake katika kuratibu uharamia huo wa CCM.
   
Loading...