Elections 2010 Amani na utulivu vyaendelea kuwekwa rehani

Mtaka Haki

JF-Expert Member
Oct 1, 2010
492
149
Amani na utulivu tunaojivunia unasemekana ni tunda la HAKI na USAWA.
Kama haki na usawa ikiondolewa basi AMANI HUONDOKA.
TANZANIA ILIDUMISHA AMANI NA UTULIVU kwa kuwa
1. HAKI ILIDUMISHWA
2. USAWA Ulidumishwa

USAWA JUMLISHA HAKI JAWABU NI AMANI NA UTULIVU

Tusijidanganye : Kama hatutajali haki na usawa basi tujue tunachezea amani.
Kama uchaguzi ukifanyika kwa haki na kwa misingi ya usawa basi amani ITAKUWEPO
 
Haki izingatiwe. Ukimpokonya mtu haki umempokonya amani yake.:A S thumbs_up:
 
Back
Top Bottom