Katika kufuatilia kwangu habari za uchaguzi mkuu ujao, habari ya wagombea wenza inayopewa kipa umbele na vyombo vya habari ni ya mgombea mwenza wa CCM, lakini wagombea wa vyama vya CHADEMA, CUF, NCCR, TLP na vingine sizioni kabisa kwenye TV na Magazeti au wao hawafanyi kampeni?