Elections 2010 TCRA na makampuni ya simu wanavyokata michango kwa ajili ya CCM

BRIA

JF-Expert Member
Aug 31, 2010
201
156
TCRA+VODACOM+MAKAMPUNI YA SIMU YANAVYOKATA MICHANGO KWA AJILI YA CCM
Napenda kuchukua fursa hii kuutarifu umma wa watanzania unyonyaji unaofanywa na makampuni haya ya simu bila hata watanzania kugutuka ili wote tuone kama kuna fair play katika uchaguzi huu
1. Baada ya changia CCM kwa sms kushindikana sasa wamebuni njia mbadala nayo ni kutoza asilimia 10% ya kila salio unaloweka na linakatwa wakati unapopiga simu nao sio instant…kama tulivyozoea na hii ni kwa wateja wa simu zote kama hupendi kuendelea kuchangia mafisadi tafadhali tuma neno HAPANA kwenda namba 15016 (Hii ndio proof ya ninachosema) Huu ni UONEVU WA WAZI WAZI
2 Baada ya ujumbe wa kashfa ambao TCRA waliukanusha kuwa hawahusiki tena kupitia TV ya TBC asubuhi wakati wa kipindi cha jambo leo Uchunguzi wangu wa siku tatu umeonyesha kuwa kati ya watu mia niliozungumza nao walioutumiwa ujumbe ule wa kumkashifu Dr Slaa basi 100% wanamiliki mtandao wa Vodacom(TCRA MTUJIBU HIZI NAMBA ZOTE ZILIPATIKANA WAPI?)
 
Katika kampeni lolote laweza kujitokeza, si taarifa ya kuipuuza ila kuithibitsha kuwa ni ya kweli ni ngumu. kwa mimi ninaependa kutoa hukumu kwa mtindo na mfumo wa kimahakama, nikitaka vielelezo na ushaidi ili nihukumu nitaonekana juha hapa JF. mmmmmmmh kazi kwenu.
 
TUMA NENO HAPANA KWENDA 15016....ila hulazimishwi kama wewe ni mlmba niguu mafisadi...prove hapo.
 
Atakuwa RA amefanya database ya wateja wa voda kama makada wa CCM so just SEND TO ALL kwake inatosha
 
Wadau, kuna jamaa yangu kanipigia simu na kuniambia kwamba Watanzania wote tunachangia kampeni za CCM bila kujijua kila tunapotumia huduma ya simu...akaniambia kama siamini, nitume meseji (neno HAPANA) kwenda 15016, nitatumiwa ujumbe...nimefanya hivyo, na huu ndio ujumbe niliotumiwa......
ASANTE KWA UJUMBE WAKO,UTATOLEWA KWENYE HUDUMA HII
YA CHANGIA USHINDE NA CCM...sender 15016

Sasa, hivi hii ni halali kweli????? CCM imeona kwamba kutuibia kwa ahadi za uongo imeshindwa sasa imeamua kuchukua pesa zetu kidogo kwa ulaghai???
 
Wadau, kuna jamaa yangu kanipigia simu na kuniambia kwamba Watanzania wote tunachangia kampeni za CCM bila kujijua kila tunapotumia huduma ya simu...akaniambia kama siamini, nitume meseji kwenda 15016, nitatumiwa ujumbe...nimefanya hivyo, na huu ndio ujumbe niliotumiwa......
ASANTE KWA UJUMBE WAKO,UTATOLEWA KWENYE HUDUMA HII
YA CHANGIA USHINDE NA CCM...sender 15016

Sasa, hivi hii ni halali kweli????? CCM imeona kwamba kutuibia kwa ahadi za uongo imeshindwa sasa imeamua kuchukua pesa zetu kidogo kwa ulaghai???

Angali maandishi mekundu: Ukitumia simu kivipi? tafadhali fafanua mkuu
 
Mkuu nimajaribu na below ndiyo ujmba unaojibiwaunapotuma SMS kwenda 15016:

Asante kwa maoni yako. Tutayazingatia na kuyafanyia kazi. Unaweza kuchangia TSHS 500 kwa kutuma neno CCM kwenda namba 15388 na TSHS 300 kwenda namba 15377

Tuwe wakweli!
 
Mimi nimejaribu kutuma ujumbe huu kwa kuandika neno ABC,kwenda namba 15016,WAMENIJIBU ASANTE KWA MAONI YAKO.TUTAYAZINGATIA NA KYAFANYIA KAZI.UNAWEZA KUCHANGIA TSH 500 KWA KUTUMA NENO CCM KWENDA NAMBA 15388 NA TSH 300 KWENDA NAMBA 15377.Kwenye inbox ya simu yangu inaonyesha ujumbe huu nimetumiwa na CCM.Mtandao naotumia ni ZAIN!
Mimi hapa I am puzzled,i do not know what is going on!Naomba mnielimishe zaidi!
 
kweli mkuu nimeamini nilipotuma neno hapana nimepate msg hii "asante kwa ujumbe wako, utatolewa kwenye huduma hii ya changia ushindi na CCM"

MY TAKE: KAMA WAMEKUWA WAKINIKATA PESA NITAJUAJE? NA JE NAWEZA KUZICLAIM BACK?
 
Itakuwa ulijiunga mkuuu

Boss, sijawahi kuip[enda CCM tangu nazaliwa, na zaidi, sina utaratibu hata wa kujiunga na bahati nasibu...simu yangu siiachi katika hali ambayo mtu anaweza kuiunganisha, kwanza sina marafiki ambao ni CCM, na zaidi kabisa, hapa nilipo namba zetu watu watatu zimerudisha hayo majibu?????
 
Nimetuma neno HAPANA na kweli wamenitoa kuichangia CCM bila kujua! Ngoja nitawapigia kwenye Customer Care niwaulize kwa nini walikata salio langu bila ridhaa yangu!
 
Mie nimetuma kwa voda nimejibiwa kwamba ntatolewa kwenye huduma hii ya changia ushinde na CCM...naam
 
Ni hasira tu ndo nikasahau kuamalizia, tuma neno HAPANA kwenda 15016....
Hili linaitaji maelezo kutoka TCRA na mitandao ya simu. Iweje uambiwe utatolewa kwenye wachangiaji wakati ujawahi kujiunga na uchangiaji huo? Mimi niko VODA nimepata ujumbe huu: Asante kwa ukumbe wako, utatolewa kwenye huduma hii ya Changia ushinde na CCM. Inawezekana watu wote tumelazimishwa kuchangia bila kujijua. Ikihakikishwa ni kweli kuna kesi ya utapeli ya kupeleka mahakamani pamoja na ya kuvunja Sheria ya Gharama za Uchaguzi. Wenye ujuzi na mambo haya wasaidie.
 
Katika hii ngwe ya mwisho ya kampeni Rostam anahaha kweli kweli kuhakikisha CCM inashinda kwani ndio usalama wake. Kinyume cha hapo safari ya kurejea kwao Iran itakuwa imeiva.
 
Boss, sijawahi kuip[enda CCM tangu nazaliwa, na zaidi, sina utaratibu hata wa kujiunga na bahati nasibu...simu yangu siiachi katika hali ambayo mtu anaweza kuiunganisha, kwanza sina marafiki ambao ni CCM, na zaidi kabisa, hapa nilipo namba zetu watu watatu zimerudisha hayo majibu?????

Duh! Punguza chuki ndugu yangu. Ni kweli chama kinaudhi sana lakini bado waliomo ni ndugu zako; watanzania wenzako. Ni katika kutafuta maslahi tu. Bila shaka, zaidi ya hapo, hawawezi wote kuwa wabaya. :becky::becky::becky:
 
No please.......lets all not be angry......this is a Machine response where by it has been setup to provide with exact information at particular word being sent......Write anything to this number and you will get the information "ASANTE KWA MAONI YAKO.TUTAYAZINGATIA NA KUYAFANYIA KAZI.UNAWEZA KUCHANGIA TSH 500 KWA KUTUMA NENO CCM KWENDA NAMBA 15388 NA TSH 300 KWENDA NAMBA 15377" then if you send HAPANA the info is "ASANTE KWA UJUMBE WAKO,UTATOLEWA KWENYE HUDUMA HII YA CHANGIA USHINDE NA CCM" this is an electronic response and CCM has paid this to all Communication providers TIGO, ZAIN, VODACOM, and ZANTEL and any that you know of... so they have feed there computers with this information incase anyone tries any of the service....Think of this try to send any of the word to a promotion number that you know to the provider you have and see what comes back to you......so there is no way they may charge you if you did not decide to contribute. If you think its something of such look at your balance and let it roll till 00:00hrs then 00:02 look at your balance if there is any change since computer programs that are setup in Mobile companies closes their business deals at every 24hrs completed
 
Nimetuma na nimejibiwa ASANTE KWA UK(SIO J)UMBE..(UKUMBE) WAKO, UTATOLEWA KWENYE HUDUMA HII YA CHANGIA USHINDE NA CCM.....Kweli bongo tambarare
 
Nimetuma neno HAPANA na kweli wamenitoa kuichangia CCM bila kujua! Ngoja nitawapigia kwenye Customer Care niwaulize kwa nini walikata salio langu bila ridhaa yangu!
ni kweli lakini? napata wasiwasi hapa,inawezekana unapoandika neno HAPANA ndo unakatwa salio la kutosha. mi natumia postpaid siwezi kujua kwa haraka
mi nimetuma neno hapana nikapata ujumbe kuwa watanitoa kwenye hiyo loop......inawezekana pia aliyetuma hiyo ujumbe ni mjasiliamali anakusanya chake na huo ujumbe ameucreate tu TZ kila kitu kinawezekana, kama watu wamesambaza sms nchi nzima ila no reaction from the government unategemea nini? hizo code number wamepewa na TCRA kwa nini mtu aibe(whether ni ccm au huyu mleta mada)?
..........:hand:......
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom