Elections 2010 Kikwete ndani ya mtwara (update).....

Sizinga

Platinum Member
Oct 30, 2007
9,101
6,027
Nipo hapa uwanjani (umoja), namba t437 apa, t945anz, t751anz(machinga trans)...na baadhi ya maroli yanasomba watu vibaya mno.....na sasa hivi hapo nje kuna mapikipiki na mabajaji mengi mno yanajaza mafuta kwenye hii sheli(kwa chingwile) yanaenda kumchukua jk(still watu uwanapigwa na jua tu jamaa bado hajaja-na sasa ni saa 7.15 mchana)...nishapiga picha ninazo...nitazi-update very soon. Stay tuned!!
 
Poa mkuuu tunahitaji kujua mengi sana ya huko!
 
yah baada ya watu kusombwa sana,kutoka ziwani,mikindani,kiyanga,chuno,magomeni .nk, uwanja kwa sasa unaanza kujaa....
 
sasa hv ni saa saa 10 kamili jion bado watu wanapigwa na jua.....ila rais wa comoro ashapita na magari yake kwa spidi ya ajabu.....
 
raisi wa comoro hajaingia bado uwanjani...nilisikia alikuwa na kikao na JK mitaa ya shangani..........
 
wasaniii bado wanatumbuiza tu stejini ....JK na mwenyeji wake rais wa comoro bado hawajaingia uwanjani..........
 
subirini picha kwa wingi tuuuuu!!ninazo za malori yaliyopakia watu,picha za jukwaani n.k........
 
sasa hv ni saa saa 10 kamili jion bado watu wanapigwa na jua.....ila rais wa comoro ashapita na magari yake kwa spidi ya ajabu.....
Sasa huyo rais wa Komoro kaja kufanya nini? Au kusaidia kampeni.
 
Sasa huyo rais wa Komoro kaja kufanya nini? Au kusaidia kampeni.

Sina uhakika kaja kufanya nini kwenye kipindi hiki cha kampeni...ila nilisikia kwamba kuna ubarozi wa comoro unataka kujengwa huku mtwara...kwani kiwanja(site) washapatiwa so may be walikuja kulikamilisha hilo..........stay tuned
 
mamida ya saa 8 mchana JK alikuwa MAGOGONI PALE SHANGANI....nadhani alikuwa na kikao.Lakini hajaonana na wanafunzi .Hajaenda SAUT
 
Huyu mzee jk kweli yuko biz aka maji ya shingo...nasikia kesho(aka nyerere day) inabidi awe kigoma kuuzima mwenge..kisha arudi tena mtwara aendelee na kampeni zake maeneo mengine.......duh ...stay tuned
 
saa 10.15 jioni JK Ndio anaingia uwanjani..........wasanii kama kawa...nitakuwa makini kujua atamaliza saa ngapi kampeni na kama kuna ahadi mpya n.k..........stay tuned
 
kwenye hotuba yake atasema,ccm ni dume la mbegu,wapinzni wanataka kumwaga damu,msihangaike na photocopy,wanaopata mimba na ukimwi ni viherehere vyao
 
nimeshajaribu kumsikiliza sijaona akiongelea sera za chama zaidi ya kusema ccm dume la mbegu,limezaa vyama vingine sijui hawa ccm nani mke wao,au wananchi ndio mke wao?Maana kila siku anasema dume la mbegu,vyama vy aupinzani ni photocopy?etc.
 
Mkuu Sizinga, tunakusikilizia hapa,, hasa picha za malori yakisomba watu natamani sana kuziona.

Stand for Change..
 
Back
Top Bottom