CCM kabla ya uchaguzi = wanajidai SERVANTS, CCM baada tu ya kuchaguliwa = WAFALME | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM kabla ya uchaguzi = wanajidai SERVANTS, CCM baada tu ya kuchaguliwa = WAFALME

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Obama08, Oct 15, 2010.

 1. O

  Obama08 Senior Member

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 17, 2010
  Messages: 182
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :A S new::peace:My fellow home of great thinkers tujadili,
  CCM wanajidai kabla ya kuchaguliwa wanasema watawatumikia ( SERVANTS ) citizens oohhhhhh
  soon after election they turn MASTERS, hatuwataki hawa, wanatumia ujinga wa wananchi kama mtaji wao, wanajua watu wakipata elimu hawataweza kuongoza, kwani ni waongo,
  chama cha mafisadi, UMEWAHI KUONA WAPI MTU 21 CENTURY anakimbia DEBATE...!!!? halafu anautaka URAIS, hii ingetosha kumnyima kura straight foward, LOOK THEIR REASON.. eti mgombea wetu anajulikana, sasa MABANGO YOTE YA NINI...!!!?:A S thumbs_down: akae nyumbani asubiri matokeo kwanini anaomba kura na kuhaha nchi nzima kama anajulikana...? mdahalo ni mahala pa kuongelea SERA, tukujue utatufanyia nini, sio kujulikana kwa sura, hata nyani anasura we don't care, we don't know him kwa sera, hatuchagui anything sera, sera zilizo kweli na zinazotekelezeka period, sasa CCM wakipata uongozi wana geuka WAFALME:grouphug:, no one can question them,,, DR GOOOOOOOOOOOO tumechoka period:peace::israel:
   
Loading...