Mke wa mgombea urais wa CCM Jakaya Kikwete mama Salma Kikwete akiwapungia mikono wanawake na wananchi wa mji wa Sumbawanga mkoani Rukwa mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa mkutano wake wa...
Nimekuwa nikifuatilia ITV news daily nimegundua toka liibuke suala la mengi na ubambikaji wa madawa kwa motto wake coverage ya CHADEMA katika TV( leo news za mkutanomkule Kagera kuwa za kwnza na...
Kutokana na hali ya kisiasa iliyopo arusha kati ya vyama viwili CHADEMA NA CCM hali imezidi kuwa mbaya kwa ccm kila kukicha, wameanza mchakato wa kununua bendera za chadema kwa gharama yeyite ile...
Jamani leo ni siku ya tatu sasa nimekuwa najaribu kutafuta website ya Chadema na habari kutoka mtandaoni zinazomhusu Mkombozi Slaa lakini link zote zinaonekana zina mshikeli, je zimefisadiwa? Au...
kwa kweli fahari yangu kuu ndani ya moyo wangu ni Tanzania na kamwe si kuiona Zanzibar iliogawika kati ya Zanzibar na Tanganyika
najisikia fahari nisemapo nchi yangu Tanzania ambayo ina visiwa...
.....HAIWEZEKANI kwa mazingira ya sasa mpaka haya yafanyike:
TUME HURU YA UCHAGUZI
KUKOMESHA MATUMIZI MABAYA YA FEDHA ZA WALIPA KODI
MAREKEBISHO YA KATIBA KUPUNGUZA MADARAKA MAKUBWA YA RAIS
ELIMU...
Nawasilisha tu:
-------------------------
Umaarufu wa Kikwete 'feki' | Gazeti la MwanaHalisi
KILE kinachoitwa umaarufu wa Jakaya Kikwete, mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
Kwa mtu anayefuatilia kwa karibu kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa mwaka huu ni wazi kwamba chama Twawala CCM(Chama cha Mafisadi au Majambazi) mwaka huu kimechezeshwa mchakamchaka kiasi kwamba...
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM, Jakaya Kikwete, akipungia wananchi waliofika uwanja wa ndege wa Mbinga mkoani Ruvuma kumuaga mara baada ya kuhutubia mkutano wa kampeni jimboni humo Oktoba...
Mashaka yangu yanatokana na matamshi yake ambayo hayaonyeshi kama ana wajibika kwa Wizara yake. Naona kama hayana ufahamu tunaoutegemea kutokana na kisomo chake.
Kuna wakati nilimuona...
Ndugu zangu wana Jamii inasemekana kwamba makamba wikendi hii amewasiri Mkoani Arusha kwa lengo la kukinusuru chama chao ambacho kiko katika hatua za mwisho kuondoka IKURU,Chanzo changu cha habari...
Juzi kwenye mahafali ya shule moja ya sekondary Bagamoyo, Rais mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi aliwahasa wananchi wachague viongozi wazuri na makini, wasije wakafanya makosa (Mwananchi...
Haya mabango nayo ona kila sehemu
1.Jk na kikongwe="anajali wazee"
VIPI WASTAAFU WA EAC?
2.Jk na watoto/pipi kwa mtoto="anajali watoto"
vipi kuwakosesha elimu kwa gharama za juu vyuoni na mikopo...
tukisema watawala wetu ni vichwa maji wanasema tunawatukana na kuhatarisha amani ya nchi,hivi hili tamko la waziri marmo lina mwelekeo upi haswa?anasema nec ni taasisi huru na hawezi kusemea juu...
joto la kampeni za uchaguzi limezidi kupanda hapa dodoma baada ya malumbano ya hoja za kuchafuana kwenye kampeni za kuwania udiwani kata ya kizota baada ya joseph marandu wa chadema na juma bakari...
Wandugu,
Heshima Mbele,
Lets discuss this, najua kwamba we have less than two weeks kabla ya kujua mbivu na mbichi, kuhusu safu za uongozi wa Taifa letu tukufu. Takwimu mbalimbali, za kisanii...
Slaa: Nitawalipa wazee wa EAC ndani ya siku 100
Edwin Mjwahuzi na Victor Kinambile, Nzega
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chadema, Dk Willibrod Slaa, ameahidi kuwalipa mafao yao...