Website ya CHADEMA mbona ninaitafuta haipatikani, kulikoni? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Website ya CHADEMA mbona ninaitafuta haipatikani, kulikoni?

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Ntemi Kazwile, Oct 18, 2010.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Jamani leo ni siku ya tatu sasa nimekuwa najaribu kutafuta website ya Chadema na habari kutoka mtandaoni zinazomhusu Mkombozi Slaa lakini link zote zinaonekana zina mshikeli, je zimefisadiwa? Au nakwenda kwenye wrong links.
  Mwenye web address ya Chadema na ile ya Kampeni ya Dr Slaa naomba anisaidie
   
Loading...