Bendera za CHADEMA zawa 'tanzanite' Arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bendera za CHADEMA zawa 'tanzanite' Arusha

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Henry Kilewo, Oct 15, 2010.

 1. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #1
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  Kutokana na hali ya kisiasa iliyopo arusha kati ya vyama viwili CHADEMA NA CCM hali imezidi kuwa mbaya kwa ccm kila kukicha, wameanza mchakato wa kununua bendera za chadema kwa gharama yeyite ile bendera moja hununuliwa kwa SH 30000 AU 20000 hiyo ndiyo bei ya chini,

  ukifika arusha utazani umeingia tarime dala dala zote zina bendera za chadema na magari ya watu binafsi pamoja na barabara zote, wakati huwo ccm wao hutoa sh 20000 kwenye dala dala iliwazibandike wanaliwa hela zao ile mbaya kwani watu huweka siku moja then hutoa wakiulizwa husema walikuwa wamepaki zikaibiwa ,

  juu ya hilo mgombea wa chadema kamanda kijana mpambanaji kweli kweli amesema amedhamiria kugawanya bendera zingine 3000 kwa jiji la arusha .

  vijana wa arusha wasema watahakikisha lema anashinda na wapo tayari kulinda ushindi huwo kwa gharama zozote zile mpaka kieleweki wadai hata ccm waweke vifaru mbele ya kituo cha majumuisho
  lazima lema atangazwe mshindi........ ccm tupa kuleeeeeee
   
 2. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #2
  Oct 15, 2010
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Ni Hatari kweli huko navyosikia

   
 3. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #3
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Vijana wa maeneo ya kijenge siku hizi hawalali wanalinda bendera za CHADEMA baada ya kusikia kuna vijana wamelipwa kuzishusha.
   
 4. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #4
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Namsubiri aminia kamanda Ngongo atuletee za upande wa pili.
   
 5. M

  MWANALUGALI JF-Expert Member

  #5
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 1, 2010
  Messages: 601
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaza uzi wana chadema, hakuna kula wala kulala mpaka kieleweke. Mwaka huu hatudanganyiki.
  Chagua Slaa, chagua Chadema, chagua amani na maendeleo
   
 6. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #6
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  wananchi wameamua baada ya kudanganywa miaka nenda rudi makanda tuachane na ccm
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Umenichekesha sana.
  Ngongo ni rafiki yangu(kimtandao) sana, lakini tunakuja kushindana pale anapomchukia mno Lema, NA KUJITAHIDI KUELEZA kwa kila lugha ubaya wa Lema, bila kukumbuka kuwa ana chembechembe zote za ubinadamu kama mtu mwingineo yoyote!...Mi huwa namwambia kuwa jamaa yake wa TLP(LYIMO) hauziki hapa Arusha, ana kambi ndogo tu ya wauza madini na wafanyabiashara wachache wa mjini, lakini maeneo kama Ngulelo, Moshono, Baraa, Olorien Ilboru, Sakina , yote ni ngome matata kabisa za CHADEMA!
  Tukishamaliza kazi hapo 31/10/2010 nitamtafuta Ngongo ili tufahamiane rasmi, na nitamdai glasi moja ya Namaqua!
   
 8. Gurudumu

  Gurudumu JF-Expert Member

  #8
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 5, 2008
  Messages: 2,350
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0

  inasisimua kweli kweli, asante
   
 9. Henry Kilewo

  Henry Kilewo Verified User

  #9
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 889
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 45
  bendera za CCM nne za shushwa sinoni mchana huu na zimepandishwa bendera saba za chamadema na vijana wasiyo pungua 184.. huku wakionyesha vikadi vyao vya kupigia kura wadai kila moja takuja na marafiki wake wanne na demu wake moja, ARUSHA hiyooooo kwenye mabadiliko ya kweli
   
 10. Msanii

  Msanii JF-Expert Member

  #10
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 6,427
  Likes Received: 370
  Trophy Points: 180
  habari njema hizi
   
 11. The Dreamer

  The Dreamer JF-Expert Member

  #11
  Oct 15, 2010
  Joined: Feb 2, 2009
  Messages: 1,280
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa nini CHADEMA wasimwage bendera kama njugu ili kutengeneza pesa ya chapuchapu
   
 12. Azadirachta

  Azadirachta Senior Member

  #12
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 171
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makao makuu ya CHADEMA yahamie Tarime kule kuna wanamageuzi wa kweli!
   
 13. R

  Reena Member

  #13
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Nimefurahi sana
   
 14. R

  Reena Member

  #14
  Oct 15, 2010
  Joined: Jul 2, 2008
  Messages: 37
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Mie bwana mtaa ninaoishi tunakazi moja tu ya kuhakikisha tunapata raisi kutoka kwenye chama chetu manake huezi amini Mwenyekiti wa mtaa ni chadema, diwani ni chadema na mbunge wetu ni chadema na wanakubalika mbaya kabisa tunachopigania sasa ni tupate raisi tu yani hapa watu wanahamasa kubwa
   
 15. minda

  minda JF-Expert Member

  #15
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 1,070
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 135
  sio arusha tu mkuu, hata hapa dodoma mitaa ya nkuhungu sokoni vijana wanagombania bendera za chadema.
   
 16. L

  Lubaluka JF-Expert Member

  #16
  Oct 15, 2010
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 496
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mimi hawa vijana wa dala dala ndio wananimaliza nguvu kabisa. Kwanza wanapeperusha bendera za Chadema,
  then kada wa CCM anapita na kuwapa Tsh 20000 ili watoe za Chadema na kuweka CCM. Hapo kada wa kijani
  anaridhika.. Next day vijana wanapepea Chadema, kada kijani akiuliza kulikoni... jibu malipo yalikua per Day!
  ! !!!.
   
 17. MWANA WA UFALME

  MWANA WA UFALME JF-Expert Member

  #17
  Oct 15, 2010
  Joined: Sep 10, 2010
  Messages: 578
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yuko wapi Nakaya aliyenunuliwa na ccm awasaidie?
   
 18. W

  WAMURUBHERE JF-Expert Member

  #18
  Oct 15, 2010
  Joined: Apr 21, 2010
  Messages: 337
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  mwaka huu tutaona mengi na kuyasikia
   
 19. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 15, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,180
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  CCM inawauma kweli kupoteza jimbo lenye mvuto kwa watalii. Lakini ndiyo hali halisi. Better swallow that.
   
 20. hashycool

  hashycool JF-Expert Member

  #20
  Oct 15, 2010
  Joined: Oct 2, 2010
  Messages: 5,899
  Likes Received: 442
  Trophy Points: 180
  imenisisimsha!
   
Loading...