Makamba ashambulia upinzani arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makamba ashambulia upinzani arusha.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by MZEE SERENGETI, Oct 18, 2010.

 1. M

  MZEE SERENGETI JF-Expert Member

  #1
  Oct 18, 2010
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 214
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Ndugu zangu wana Jamii inasemekana kwamba makamba wikendi hii amewasiri Mkoani Arusha kwa lengo la kukinusuru chama chao ambacho kiko katika hatua za mwisho kuondoka IKURU,Chanzo changu cha habari kinasema alishindwa pakuanzia kwa jinsi watu walivyo kuwa wakimwambia waziwazi kwamba wamechoka na CCM.Kama unaufahamu juu ya hili Ongeza dondooooo.
   
Loading...